Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

NAWE PIA

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
177
Reaction score
13
Ndugu watz. tangu uchaguz umeisha edward lowassa amekuwa kimya, lakn kimya hiki kina kheri kwa taifa au shari inaandaliwa?
 
Lowasa is no more in political game........tumuache apumzike alee wajukuu na vitukuu
 
Muacheni apumzike Jamani. Sasa ni kazi tu!

QUOTE=mcubic;14521139]Lowasa is no more in political game........tumuache apumzike alee wajukuu na vitukuu[/QUOTE]
 
ukitaka kumtesa adui yako aliyekudhulumu kaa kimya utamuumiza kisaikolojia sana
 
Tatizo sio Lowassa kuwa kimya, bali Watanzania waliodhurumiwa ushindi wao. Wao ndio wapo kimya na hii inamaana gani?
 
Kwa shari hatoweza ataishia segerea maana hana immunity huyo
 
Tatizo sio Lowassa kuwa kimya, bali Watanzania waliodhurumiwa ushindi wao. Wao ndio wapo kimya na hii inamaana gani?

Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli
 
Kumbe ulishampigia kufuli na hii ya lowasa inakuwashajee? Nyambizi asiena mume wee,,
 
Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli

Acha ujinga wewe.

Mmeiba kura sahivi mnaleta ngonjera?
 
Na kweli haki ya mtu haiwezi kupotea na ndio maana magufuli Rais maana yeye ni chaguo la wengi
 
Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli

Yaani Yehodaya umeusemea mtima wangu kabisa. Wametuchosha hawa
 
Inaumiza Sana Lowassa kashinda lakini mijizi inampoka Ushindi wake.
 
Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli

Ukimya Wa watu Wa upinzani una mshindo mkuu na huo ndo ushahidi mmoja wapo Wa hiyo dhuluma

Sasa ninyi mnasema hapa kazi tuu na tusubiri tuzione izo kazi
 
Attachments

  • 1446361873167.jpg
    1446361873167.jpg
    54 KB · Views: 240
Mara nyingi dunia hii husikiliza sana upande wa Upinzani Japo chama Tawala kina nguvu na Bado kina Nafasi ya kushinda uchaguzi kialali. Uchaguzi huu wa 2015 niwazi sana na upinzani ulipewa Nafasi kubwa Ya kuonyesha watu kwamba Tanzania ni nchi huru ccm inaweza tolewa Madarakani na chama chochote kitacho simamia hoja muimu na kuwa na nia dhabiti ya kuijenga nchi, Lakini kilicho waangusha Upinzani ni hoja zao zisizo wazi na mgombea wao aliye na tuhuma lukuki za ufisadi, Pamoja na kampeni ndogo zilizo shindwa kuwafikia wapiga kura walio wengi vijijini, kwakutaka kuitowa ccm Madarakani nilazima chama pinzani kisimamishe siasa ya kitaifa nikiwa na maana kwamba Lazima chama kishirikishe watu wa Mikowa Yote kwa ngazi zote Madaraka ndani ya chama na kusimamishwo office za chama kila kijiji ili kuwafikia wana vijiji walio wengi kwani huko ndiko ccm wanajizolea kura nyingi, msimamo wa ccm leo ni mkubwa sana kiasa kwamba inaonekana kwamba ndio chama pekee ambacho kina jumuisha wanzania wote bila kupendelea kabila au watu wa kanda fulani, huo ndio mfumo wa kujenga ushindi kwa chaguzi yeyote ile, ni mengi tu ila niishie hapo
 
Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli

6,471 kwenye majumuisho ya kura za tume Fanya rejea yamatokeo toka tume tofauti haijatolewa majibu hivyo tumia bichwa lako kufikiri sio kufugia nywele au ushahidi UPI zaidi ya huo unautaka?
 
Back
Top Bottom