Wahenga wa juzi tuu

Sijui ni kwanini ila tangu enzi hizo mpaka leo hii muda huu nilikuwa najua katalina ni binti mrembo anayekuja na mvua... Halafu akija wote mmeloa anakuchukua na mnaenda kujificha na kucheza kibabababa na kimamamama [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo mwisho tuu nimechekaa
 
Kama haya uliyafanya huku ukiishi na mama tu baada ya kutengana baba, shangazi na baba watakoga vichambo haijalishi kutokuwepo kwao!
 
Mshana wewe seva yako haijaagi picha,

Hahahahahahaahaahaha
Tisha sana mkuu.
 
Mshana wewe seva yako haijaagi picha,

Hahahahahahaahaahaha
Tisha sana mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…