Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
- Thread starter
-
- #81
Wakazidi kumchimba baba mwenye homa kali
Baba yetu watufumba hatujui fumbo hili
Akili yetu nyembamba haijajua methali
Sema iko wapi mali itufae maishani.
Urithi tunatamani,Mali yetu ya halalali
Madogo walikomaa hao.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasisi wa dot com tuliosoma kwa kutumia tablet na apps mbali mbali tunaruhusiwa humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
-Awafu mwenye nguvu
-Pamela na kipini
-Siku ya gulio
-Tola alia gizani
-Watoto wageuka mawe
-Mkutano wa wanyama
-Nani atamfunga paka kengere
-Muwa uliozamisha meli
-Sadiki na Chitemo
-Jogoo wa ajabu
-Mpapai na mtete
-Kuku na yai
-Pepe mwanangu huna masikio
-Chopeko na mnofu.
Hii pia nkikumbukaAwafu mwenye nguvu
kilambo
sikulamba sukari, pwagu na pwaguzi
Mimi nmemis kuimba wimbo was taifaKWAKWELI NIMEMISS KULAMBA KAMASI NA KUCHEZA GOROLI
Waje watueleze kwa kweli[emoji56]
Darasa la kwanza na pili tulisoma Kitabu chenye hadithi ya Bulicheka na mke wake Elizabeti, la tatu na nne tulikuwa na vitabu vya ziada vya Alfrela Ulela, English nakumbuka kile cha Mr. Mtabingwa.
Baba aliye kufani,akajibu Lile swali,
Ninakufa masikini,baba yenu Sina Hali,
Neno moja lishikeni,Kama mnataka Mali,
Kama mnataka Mali,mtaipata shambani.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji2960],Kaz kwako kaka,,tuendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza shirikianeni,nawapa hiyo kauli,
Huku kwenye English tukisoma adventures of Mahugu the HunterWewe ni muhenga haswa,ni wa kapulya mdadisi,brown ashika tama, safari yenye mkosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sikosei ilikuwa ikitoka kibanga ampiga mkoloni, inakuja hiyo story ya macho maane. Alikuwa mzungu flani anavaa miwani hivyo wakampachika hilo jina.
Umenikumbusha[emoji3526]Kama sikosei ilikuwa ikitoka kibanga ampiga mkoloni, inakuja hiyo story ya macho maane. Alikuwa mzungu flani anavaa miwani hivyo wakampachika hilo jina.
Utoto una raha[emoji16][emoji16][emoji16]Kwanza shirikianeni,nawapa iyo kauli,
Fanyeni Kaz shambani,mwisho mtapata Mali,
Haya Sasa guliani,kifo kimenikabili,
Km mwataka kauli,semeni niseme nn?
Alipokwisha kutaja,fumbo hili la akili,
Mauti nayo yakaja,roho ikaaga mwili,
Na watoto kwa umoja,wakakumbuka kauli,
Km tunataka Mali,tutaipata shambani
Fumbo wakatafakari,watoto wale wawili,
Wakakatana shauri,baada ya siku mbili,
Wote wakatafakari,usemi wakakubali,
Kama tunataka Mali, tutaipata shambani
Shamba wakapapalilia,bila kupata ajali,
Mavuno yakawajia,wakafaidi ugali,
Wote wakashangilia,usemi wakakubali,
Km mnataka Mali , mtaipata shambani
[emoji23][emoji23][emoji23] I wish huu uwezo wa kukumbuka ningeuhamishia kwa madude haya nayosoma siku iz
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka hii, lima mkulima lima lima mbeya, tanga, tabora, lima hataree sanaUtoto una raha[emoji16][emoji16][emoji16]
I always miss those years.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile ndiyo zikuwa shule!unaihangaikia na kuipenda hasa.Unakumbuka hii, lima mkulima lima lima mbeya, tanga, tabora, lima hataree sana
Sent using Jamii Forums mobile app