Wahenga njooni tijikumbushe

Wahenga njooni tijikumbushe

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Hawa watu unawakumbuka?
images.jpeg
 
Jamaa alikuwa na mpikipiki fulani hivi kama sikosei.....madogo tulikuwa kumuita Rinorensi huyo mwenye minywele na msela kulia tulikuwa tunamwita Babi 😂😂😂😂
 
Kitambo kidogo,uyo jamaa alie waa hereni sikioni alikua na pikipiki lake ilo kiboko alinifanya kupenda sana usafiri huo kwa kipindi hicho,afu Kuna tamdhilia moja ilikua inaitwa the passion Kama sijakosea ilikua na ka Bibi kachawi iv ITV
 
Back
Top Bottom