Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Hahahahaaha nimecheka sana![]()
![]()
![]()
sikimbii we njoo unifunike nayo usoni niwe kama nakanda unga wa kupikia maandazi au chapati
Hahahahaaha nimecheka sana![]()
![]()
![]()
sikimbii we njoo unifunike nayo usoni niwe kama nakanda unga wa kupikia maandazi au chapati
HAHAAAAA ACHA MASIHARA BASIII YAANI WAMEITWA WAHENGA BILA HATA AIBU NAWEWE UMEJITOKEZA MANINA WALLAHI ...KHAAAAAA![]()
![]()
tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kwelikakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe
Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
hahaaa hao nawajua mkuu wanachora maji hatari daaahhh umenikumbusha mbali mnooo ..kuna wengine walikuwa wanapnda mnoo kukaa kwenye michongoma ..tulikuwa twawaita ng'ombe maana wanakama mapembe Hivi kichwaniHawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni
Tulikuwa tunawaita chora baruaaa
Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu
Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn
Tulikuwa tunadanganyana kwae
Hahahaha Hearly nna RB yakoHAHAAAAA ACHA MASIHARA BASIII YAANI WAMEITWA WAHENGA BILA HATA AIBU NAWEWE UMEJITOKEZA MANINA WALLAHI ...KHAAAAAA

Nakuja ila using'ate tu,nilishang'atwa na fukufukuNakusubiri![]()
![]()
hahaa hata mimi ninayo yakwakoHahahaha Hearly nna RB yako![]()
![]()
![]()
Huwa sing'ati nitamung'unyaNakuja ila using'ate tu,nilishang'atwa na fukufuku

Unfortunately today .... english is finished in my head
You are not profit in our class again.Unfortunately today .... english is finished in my head
Ngabu anataka kwenye le mutindizi mkubwa kubwaWe ntakuachia Nyani Ngabu akupeleke USA
KheeeeMi nayajua madude flani hivi yapo kama bilinganya watoto wa kiume wanaobalehe wale walikua wanachagua limoja kweny maua yake wanalifunga kamba inakua inaning'inia,jinsi linavyoendelea kukua wanaamin na dushe inakua kufatana na lile lidude....tunaita limbambata![]()