Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,698
- 4,974
ok.๐MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!
MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.
KUNA WAPUMBAVU NA WASIO NA UZOEFU NA MAHUSIANO WATAKUSHAURI.TAFUTA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.
MY FRIEND HAYUPO HUYO WA KUKUPENDA JINSI ULIVYO,YOU MUST PROVIDE VALUE B4 THEM FIRST!!!....JICHANGANYE UTAEKTIWA MOVIE WAKOREA NA WAFILIPINO WAKASOME.
UNALIWA RADA SINCE DAY 1, ANAKUPA MIAKA 10 BAADA YA HAPO SHETANI ANAJIVUA GAMBA๐๐๐
๐IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!
#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
#ITS SUNDAY AND AM PREACHING THE REAL GOSPEL!!!
Bado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.Wanawake kama dhahabu yani hadi raha.....
Kwa siku zinapita threads kama 20 za wanaume wakihubiri mahubiri ya wanawake.
Kmm oyeeeee
What happened brotha au kuna mtu ametafuna nauli!MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!
MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.
KUNA WAPUMBAVU NA WASIO NA UZOEFU NA MAHUSIANO WATAKUSHAURI.TAFUTA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.
MY FRIEND HAYUPO HUYO WA KUKUPENDA JINSI ULIVYO,YOU MUST PROVIDE VALUE B4 THEM FIRST!!!....JICHANGANYE UTAEKTIWA MOVIE WAKOREA NA WAFILIPINO WAKASOME.
UNALIWA RADA SINCE DAY 1, ANAKUPA MIAKA 10 BAADA YA HAPO SHETANI ANAJIVUA GAMBA๐๐๐
๐IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!
#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
#ITS SUNDAY AND AM PREACHING THE REAL GOSPEL!!!
Kiumbe dhaifu kinawapeleka puta sana.....hamna hata muda wa kuwaza mambo ya msingi, muda wote wanawake hiki wanawake kile wanawake wanawake jamani kwani kumma haizoeleki hivi au kujiendekeza ๐คBado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.
Hizi gospel tunazotangaza lengo ni kufuta fikra za hovyo ambazo vijana wamelishwa kwa kipindi kirefu.
Fikra za kuwafanya wanawake kuwa kama wana kitu exceptional๐๐๐while kiuhalisia wanawake hawna kitu chochote special zaidi ya kuwa viumbe dhaifu ambavyo vinatakiwa kuonewa huruma.
๐๐๐Ukitoa uchi hakuna kitu mwanaume anapata kutoka kwa mwanamke!!!Huu ni ukweli mchungu kila mwanamke hataki kuusikia.
Utasikia oooh mie mwanamke hanibabaishi ila analala na kuamka akiwawaza wanawake na karibia kila uzi wake ni wanawake this and that๐คฃ๐คฃ๐คฃWanawake kama dhahabu yani hadi raha.....
Kwa siku zinapita threads kama 20 za wanaume wakihubiri mahubiri ya wanawake.
Kmm oyeeeee
Umeambiwa tumia akili sio hisia๐คฃ๐คฃhakikisha unamzalisha vya kutosha ili hata aki change hupati hasara yoyote!!!
Pamoja na hayo yooote bado anakushughulisha๐คฃ๐คฃBado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.
Hizi gospel tunazotangaza lengo ni kufuta fikra za hovyo ambazo vijana wamelishwa kwa kipindi kirefu.
Fikra za kuwafanya wanawake kuwa kama wana kitu exceptional๐๐๐while kiuhalisia wanawake hawna kitu chochote special zaidi ya kuwa viumbe dhaifu ambavyo vinatakiwa kuonewa huruma.
๐๐๐Ukitoa uchi hakuna kitu mwanaume anapata kutoka kwa mwanamke!!!Huu ni ukweli mchungu kila mwanamke hataki kuusikia.
Kila kitu kitatumika kwa ajili ya hayo yote!!!hakuna kubeba misumari kichwani!!Umeambiwa tumia akili sio hisia๐คฃ๐คฃ
Hao ni watoto wako ambao ni jukumu lako kuwalea na kuhakikisha wanakwenda chooni kila siku na wasome vizuri. Hakikisha uchumi na afya ya mwili na akili vinaruhusu hilo kabla ya yote.
Pesa za nini bila mwanamke,Kiumbe dhaifu kinawapeleka puta sana.....hamna hata muda wa kuwaza mambo ya msingi, muda wote wanawake hiki wanawake kile wanawake wanawake jamani kwani kumma haizoeleki hivi au kujiendekeza ๐ค
HASIRA AU FURAHA.Umeandika Kwa hasira Sana mkuu,pole
Sawa mkuuHASIRA AU FURAHA.
MESSAGE DELIVERED,NDIO MPANGO MZIMA.
๐๐๐SHIDA MNATAKA MUAMBIWE VITU LAINILAINI.MWANAUME JIFUNZE KUUONA UKWELI NA KUUKUBALI HATA KAMA UNAUMA!!!
TUNAOWAONEA HURUMA MNAVYOBWATULIWA VICHWA NA KUINGIA FUTI SITA KABLA YA MUDA๐๐๐๐ ๐ ๐ hii milio inasikika kutoka kila pande za jeyihefu kuna niiiiiiiiiii๐ณ
Maskini mleta mada ๐
Aweeeeehhhh bro uko wapiPesa za nini bila mwanamke,
Bata za nini bila mwanamke,
Yaani udrive gari Kali,uende hotel Kali na expensive,halafu huko kote hakuna warembo ndo umefanya nini.
Wanawake wanajiremba na kupendeza kwaajili ya mwanaume.
Mwanaume naye anasaka mavumba Kwa mbinu yeyote ,ili ale mema ya nchi,hayo mema unakula na Nani?
Mwanamke Yuko wapi?
Kuhonga au kuhudumia mwanamke kuna Raha yake haswa kama chenji zipo Kwanza unaheshimiwa na kuogopwa kwasababu anajua muda wowote nafasi inazibwa.
Evelyn Salt
Nipo Dar es salaam Tanzania.๐Aweeeeehhhh bro uko wapi