Wahenga hawa wapo kimya sana,kweli Magufuli ananyoosha nchi.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,973
6,606
35cc735b1a7263dcf97f5ba23e9fd3df.jpg
 
Kati ya wote nafikri Werema ndio anaishi maisha ya kawaida ya kitanzania, waliobaki ni matajiri katika jamii ya Watanzania.
 
Kumbe mama escrow aka mama wa pesa ya mboga alikuwa mzuri hivyo alivyokuwa mdogo, aisee kumbe ukitaka kujua kuwa huyu atakuwa fisadi angalia tabia zake akiwa mdogo
 
Back
Top Bottom