mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 760
Nadhani nikujipanga aisee na mazoezi spesho, kupunguza weight ni kazi sana. Belly fat ni ishu. Hongereni mnaowezea. Hii Jumapili iliyopita nilibahatika kupita kiwanja kimoja cha mpira asubuhi...wengi wa wachezaji ni above 35, na wanauweza mpira...ila sasa vitambi dah.