Wahehe na Tohara

Sawa, kumbe wengine ni kidini.

Sijui wengine wanavyojua,binafsi natambua kuwa leo tunaona MIKOA ya PWANI mingi ni kama UTAMADUNI kwao kwa kuwa WAGENI waliowaletea dini na tamaduni maeneo hayo yaliipa TOHARA uzito gani? MFANO (nahisi) watu walioeneza UKRISTO sidhani kama yaliweka uzito ktk swala hili,UKILINGANISHA NA walioneza UISLAMU_binafsi si mtaalamu wa historia ila siamini kabla ya waeneza dini kama tulikuwa na tamaduni za tohara. Ni hayo MKUU.
 

Pwani watu hutahiriwa kimila mfano Wamakonde, Wazaramo, Wandengereko, Wanyagatwa, Wakwere, Wadigo etc ingawa dini nayo inahusika.
 
Utamaduni wa kutahiri haukuwa wetu, ndo maana jamii nyingi bado hawajatahiriwa. Unless kama ulikulia mjini kidogo. Huu utamaduni ulianzishwa Na WAYAHUDI,sisi tukafuata ku copy tu.
 
Ukitamka neno tafiti wengine hupenda kuona source. Imwage hapa.
 

Traditionally wa Africa wengi haikuwa utamaduni wetu tohara hadi pale ukoloni na dini zilipoanza...

So mtu kutokutahiriwa ni more of personal issues than traditional..

Ingawa traditional covers as well lakini hard to generilize boss!
 
Hakuna mwanamume wa kichaga wa Marangu au Machame au Old Moshi anayeweza kuoa kabla ya kutahiriwa. Zamani kidogo walikuwa wakitahiriwa kimila wakiwa tayari watu wazima na baada ya kutahiri ilikuwa haupiti muda kabla ya kuoa. Siku hizi wanatahiriwa hospitalini wakiwa bado wadogo. Naamini hata wachaga wa sehemu nyingine kama Kibosho, Kilema, Uru ni hivyo hivyo. Kusema Wachaga hawatahiri wanaume ni kupotosha ukweli

 
Pwani watu hutahiriwa kimila mfano Wamakonde, Wazaramo, Wandengereko, Wanyagatwa, Wakwere, Wadigo etc ingawa dini nayo inahusika.

Bila shaka walijiwekea mila hizo baada ya kutembelewa na WAENEZA DINI?hapo kabla sidhan kama walikuwa nayo. sukari_Yenu
 
Last edited by a moderator:
Kilimanjaro ndo wajanja ksbsa wanatahr kabla hujafka 16
 
Inasemekana mkeo akijachepuka na mwenye govi basi ndo ndoa yako kwishinehi.. Eti ile foreskin inakuna kisawasawa...

Btp.
Wakristu kutahiri hiyari, kwa Waislam ni lazima/ibada.
 
Mkuu kiwatengu salama
Hii habari sijui Hute kaitoa wapi aise
Wachagga hawana hiyo mila ya kuacha mkono wa sweta bana

Halafu kama Hute ni mwanaume afu anakomaa kuwa wachagga hawatahiri sijui alijuaje na ni utafiti gan alifanya....angekuwa mwanamke labda ningesema anaongea from experience but kama ni man inabidi uje na facts za kitafiti ndo ueleweke...la sivyo nabaki na mashaka mengi sana....
 
Last edited by a moderator:

Ndo hapo mkuu King mark atuambie huo utafiti wake aliufanya wapi
 
Last edited by a moderator:
au labda tuwaulize kina dada, kama walishawahi kukutana na mchagga ambaye hajatahiri au wanakutana na waliotahiri...hao niliowakoti...mnasemaje jamani?

Aliekuambia sio utamadun wetu n nan cc tunatahr bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…