Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
-
- #21
sawa nimekusoma.Spell Hadzabe
Spell Hadzabe
kumbe wazungu kile kibebea watoto na africa tulishakuwa nacho tangu enzi? nimependa the way alivyokuwa mbunifu na hiyo ngozi. kumbe wabarabaig ni mang'ati?
Mmang'ati.
Nalog off
ndio mkuu kwani ulikuwa unamtaka?Unamaanisha huyo mke wa mtu.
ni kweli kabisa mkuu mdharau kwao ni mtumwa.Kudumisha mila ni jambo zuri!
kwanini huwa wanawakimbia mkuu?masai akimuona uyo anakwenda mbio kama kishada,
Ni kweli kabisa watu weusi walikuwa navyo kitambo tu hivyo vitu,kwa mujibu wa mkuu manumbu1,ambaye anawafahamu vizuri.kumbe wazungu kile kibebea watoto na africa tulishakuwa nacho tangu enzi? nimependa the way alivyokuwa mbunifu na hiyo ngozi. kumbe wabarabaig ni mang'ati?
Mmang'ati.
Nalog off
Hawa ni mang'ati wanapatikana mpakani mwa mkoa wa Singida na Mkoa wa Manyara katika pori linaloitwa GihanduHuyo sio mhazabe huyu ni mbarbaig (mang'ati)
Hata wewe umekosea, ni Handzabe
Ni kweli kabisa watu weusi walikuwa navyo kitambo tu hivyo vitu,kwa mujibu wa mkuu manumbu1,ambaye anawafahamu vizuri.
Nalog off
Una uhakika na unacho kinena?
Mkuu Husomeki.. maana umeweka n hapo ionekane kama kizungu sipo kwa kubishana... haya makabila ya jirani huko kwetu... hawa ni Bushman kabisa hata kuna waziri wa Namibia Huko Alisikia habari zao kuwa kuna watu Tanzania wana asili nao na wanafanana nao karibu kila kitu na alifanya ziara huko...
OHAYOOODA.....OHAYOOODA....OHAYOOOODAAAAAAA!: BREAKING NEWS: BALOZI WA NAMIBIA KUTEMBELEA HAYDOM NA YAEDA CHINI KUANZIA KESHO
Hadza people - Wikipedia, the free encyclopedia
[TABLE="class: infobox vcard"]
<tbody>[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 2, align: center"]Total population[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]1,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 2, align: center"]Regions with significant populations[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Tanzania[/TH]
[TD]1,000[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 2, align: center"]Languages[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Hadza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #b0c4de, colspan: 2, align: center"]Related ethnic groups[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]None known[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
OHAYOOODA.....OHAYOOODA....OHAYOOOODAAAAAAA!: Haydom is the Pride of Africa-Balozi wa Namibia nchini
ni kweli kabisa mkuu mdharau kwao mtumwa waache wauenzi utamaduni wao.Wanaenzi utamaduni wao.....Lakini katoto kametokezea na kazuri full-angel !!MashAllah.. Mungu awalinde.
Ndugu yangu@Washawasha wabarbaig ni Kabila ambalo asili Yao ni between Ethiopia and northern Somalia (Somaliland) na wana Historia wanasema baadhi ya wasomali wana asili ya wamang'ati ndio maana kuna baadhi ya maneno mengi ya kisomali yanaoana na kibarbaig
Hawa ni mang'ati wanapatikana mpakani mwa mkoa wa Singida na Mkoa wa Manyara katika pori linaloitwa Gihandu