Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Leo mjini BUKOBA kulikuwa na maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea wakiomba wajengewepicha ya senene ikitema lubisi, eti kisa wenzao wa MWANZA wamejengewa picha ya samaki ikitema maji (hezea wahayawewe)