Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 282
- 455
ahahah marahaba
ambayo sio dhambi😂😂😂! Jamaa kwa kupenda vitu vizuri! Nawakubali
isijekuwa tunasingiziwa tuna uhakika gani kama mmiliki ni mhaya
Leta Dar kikutane na wale wachoraji wa ukutani, wataanza kupanda juu ya kiti na kuchuchumaa, wakiona vipi anachota anakandika siling'bodi.
Hatari! 😂😂
hivi ni vya waha
Nogambaki mulangira? 😁🖐