wahaya na wachaga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wahaya na wachaga...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Smarty, Jan 14, 2012.

 1. S

  Smarty JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  nilimskia mtu akisema kuwa ukienda sehemu hapa Tz usiwakute wahaya na wachaga basi hiyo sehemu haifai kuishi.. Sio kwamba hautaishi ila utaishi bora maisha na sio maisha bora.. Maoni yako tafadhali kulingana na sehemu ulizotembelea na ukashuhudia with ur naked eyes.... Kwa upande wangu naona kweli wachaga wakiwapo mahali kutakuwepo na economic development mzunguko wa hea unakuwepo kupitia biashara.. Wahaya wamejaaliwa kuwa viongozi wazuri na ni watu wa mipango endelevu.. Case study yangu ni hapa ninapoishi hapa nje kidogo na mji wachaga hawapo...na wahaya hawapo pia... Pamechoka sana utafikiri sio manispaa bana..
   
Loading...