Wahaya kwa matambo kiboko!!

Wahaya kwa matambo kiboko!!

Nani amemsikia Prof, Tibaijuka leo na hotuba yake? kha! "natuma salamu kwa mama yangu akiwa muleba anasikiliza hotuba yangu".......and I was like whaaat?

nimemsikia n i was wtf........but i understand watani zangu
 
unajua mpwa nilivyoiona hii sredi kabla ya kuifungua nilihisi labda mleta uzi alikua anataka kuongelea tambo za Prof. Tibaijuka!, mama ana mikogo yule ya kihaya sijapata kuona.

by the way salama lakini mpwa?

Mpwa ndo ivo nimechekaje? Wapi mpwa mida sana hisomeki
 
Bishanga, pole mtani. Bora usinge 'no comment'. At least inaburudisha kwa kiasi fulani ingawa wengine tumeingia 'bush'.
 
Na ukitembelea kampuni ukakuta HR au Mkurugenzi ni nshomole jua wafanyakazi wa chini yake ni ..........!
 
we waache,niko msitu wa pande napiga jaramba,nikiwashukia leo ndo watajua Bishanga Abashaija Ayanyampile Olwazi Lukatika watajua ni nani.


Aha ahaaaaa OLWAZI LUKATIKA???????????????????????? Ekyo kinyampo aga kiki???? Owiiiii Bishanga aaaaaaaaaaa NAKUTINA utaua mtu jamani punguza hasira Bro.
 
hapo Bishanga lazima siku yake iende vibaya,mnamharibia siku mwenzenu kwa kumpa za uso asubuhi yote hii kasinge.😛hone:😛hone:yani hawa binadamu usipowazoea utahama hata mji wanachosha na kukera pia ila ukiwazoea kila kitu kinakuwa shwari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom