KOGELO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 204
- 361
- Thread starter
- #21
Matusi ya nini ndg?You are a giant of a fool, cha ajabu nini? uwezo wako wa kufikiri upo chini sana
Nilimaanisha jina la kijiji kinaitwa rushwa na zahanati ni rushwa sasa nilikuwa nawaza kama umepangiwa hapo first appointment unajikuta unachanganyikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app