shadownet
Senior Member
- Aug 4, 2015
- 133
- 678
Matokeo yametoka leo mchana, Mimi ni mmoja wa walio piga pepa kwa mara ya kwanza may kwa intermidiate stage, Sina haja ya kusema tumefeli maana wengine wamefaulu vizuri tu na sina haja ya kusema tumefaulu maana wengine wamefeli sana tu
National Board of Accountants and Auditors - NBAA
National Board of Accountants and Auditors - NBAA