Wahariri wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na Mwandishi mwandamizi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa wameachia kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana hiyo.
Wahariri hao waliojisalimisha jana majira ya saa tisa na kuhojiwa kwa masaa nane, walinyimwa dhamana na polisi kwa madai leo asubuhi wangepelekwa Mahakamani, kitendo ambacho jeshi la polisi wakishindwa kukifanya hadi saa sita mchana huu.
Mkina na Jabir wameachiwa kwa dhamana ya Sh. 20 milioni kila mmoja, kwa wadhamini wawili kwa kila mmoja, ambapo kila mdhamini amesaini bondi ya Sh. 10 milioni.