[niponipo sana] serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba
hii mada yako inahusiana vipi na masuala ya kazi? kusoma hamjui hata picha hamuoni? mnabore watu bwana