Wahanga wa kuzimu/jehanam

Unajua CHARMILTON umekimbilia kujibu hivi bila kusoma kwa makini nilichoandika! Na umefanya hivi kutokana na u tofauti wetu katika imani
Nakusihi rudia tena kusoma kwa makini nilichoandika ujue niliandika nini hasa
 
binadamu duniani
kuzimu +kaburini
hukumu
jehanamu +peponi

habari za mtenda wema baada kufa kabla hukumu hazijabashiriwa kwa undani
ila habari za waliomkataa naye akawakataa zimebashiliwa hata kabla ya hukumu na makazi ya wamchukizao ni KUZIMU
na Kuzimu ni kwa mashetani[emoji49] [emoji49]
mashetani[emoji49] [emoji49] wanaishije? wapi ? eti mshana mkulu anajua ?
wote tunaompinga ni mashetani[emoji49] [emoji49]
ndo mana maisha kwetu yamekuwa magumu
eti mshana wewe ni shetani[emoji49]
basi na mimi shetani[emoji49]
mana hali imekuwa mbaya kwangu

kwa mujibu wa maandiko shetani[emoji49] ni yupi nipe jibu mshana
na kwa mujibu w mkulu shetani[emoji49] ni yupi nipe jibu mshana


NAUNGA MKONO HOJA YAKO
NAPINGA PIA
 
[emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naungana nawe kupinga na kuunga hoja mkono
 
Mshana Jr jehanamu ipo na ni baharini, maji yote yataondolewa waovu watachomwa moto
 
Unajua CHARMILTON umekimbilia kujibu hivi bila kusoma kwa makini nilichoandika! Na umefanya hivi kutokana na u tofauti wetu katika imani
Nakusihi rudia tena kusoma kwa makini nilichoandika ujue niliandika nini hasa
Je kuna ufufuo siku ya mwisho?

Je kuna Mbingu na Jehanamu ya kuweka watu baada ya kifo na hukumu kulingana na matendo yao?

Mimi nilishajua mtazamo wako juu ya haya makitu that's why nikauliza vile mwanzoni.
 
Je kuna ufufuo siku ya mwisho?

Je kuna Mbingu na Jehanamu ya kuweka watu baada ya kifo na hukumu kulingana na matendo yao?

Mimi nilishajua mtazamo wako juu ya haya makitu that's why nikauliza vile mwanzoni.
Kuna ufufuo siku ya mwisho kwa waamini na waaminio
Kuna mbingu na jehanam kwa waamini na waaminio
Tatizo liko kwenye tafsiri! Wasioamini hutafsiri kidunia wakati waaminio hutafsiri kiroho
Ishu ya mbingu na jehanam ni ya kinadharia na kiroho zaidi..ni dhana zisizo na ithibati za kisayansi na ndio maana hata hayo mapicha ni ya kufikirika zaidi kulingana na picha iliyojengwa kwenye maandiko , ni mambo ya kiimani zaidi kiroho zaidi
Mada yangu ilijikita kwenye kuhoji uhalisia hasa kwa mtazamo wa wengi habari za kuzimu na peponi na vile wengi wanavyopotoka
Tunadhani hizi zana mbili ziko mbali sana na sisi lakini kiuhalisia tunaishi nazo kila siku kwenye maisha haya haya
 
Kwa wasioamini itakuwaje?
 
Ukweli hauwezi kuadhiriwa na imani....utaweza kuamini kitu hakipo ili hali kipo, je ikitokea hivyo kwa wasioamini itakuwaje?
Ukweli kwa muktadha upi? Kwakuwa dunia yote imejazwa na dhana na nyingi Zikiwa ni za kufikirika kuliko uhalisia...hata hiki kitu unachoita ukweli bado ni dhana! Kuamini ni dhana kutoamini ni dhana...
 
Nimepitia post yako mkuu.. Ila nimechanganyikiwa kidogo.. Unasema hizi pepo na jehanam zipo hapa dunian so baada ya mtu kufa au kiama hakutakua na maisha tena, yaaan kila mtu atapoz kwenyr kabur lake kwa kua ndio pepo yake na wale mbugila mbugila watazururra zurura tu duniani.. Cjakuelewa vizur mkuu
 
Ndio ni hapa hapa duniani kwasasa kwakuwa kiama hakijafika! Parapanda kuu haijapulizwa(kwa waamini na waaminio)
Kwasasa jehanam na pepo viko hapa hapa hii ni hata kwa wale wasioamini..tunaweza kutofautiana lugha tuu lakini uhalisia(sio ukweli )utabaki Vilevile
Kwamba wakati wewe umelala raha mustarehe kitandani mwako kuna mwingine anateseka na maumivu ya kutisha pale ocean road (dhana ya pepo na jehanam)
 
Aaaaah hapo huo mstar wako wa mwisho wa kitandan na ocean road umenifanya nimekuelewa…
Maana yake ni kwamba starehe unayopata dunian ndio pepo yako na mateso unayopata ndio jehanam yako…
Ila mkuu katika imani za dini zote kubwa zinaelezea kuwa posibl kuna mateso baada ya kufa.
Hili unalizungumziaje?
 
Ni vile vile kuna roho zimepumzika pale kaburini kimya kabisa
Kuna roho zinazotangatanga duniani na kupata shida nyingi
Kuna roho ziko incarnated kwenye maisha mazuri sana
Kuna roho ziko incarnated kwenye maisha ya mateso mno
 
umeongea kimtazamo zaidi! jehanamu haipo duniania, kuzimu ipo duniani na inasemekana ni chini ya bahari!
 
umeongea kimtazamo zaidi! jehanamu haipo duniania, kuzimu ipo duniani na inasemekana ni chini ya bahari!
Nazijua vema habari za kuzimu na bahari pia na hayo yanayotokea huko chini ya sakafu ya dunia ni sahihi kwakuwa kila kitu kibaya tunapeleka chini na sio juu
Kwahiyo kuzimu ni zao la mwanadamu mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…