Wahanga wa ajira za ualimu

Wahanga wa ajira za ualimu

Naibu waziri Suleimani Jafo amesema "kwa walimu wa masomo ya sanaa na biashara serikali inafanya tathmini ya walimu wa masomo ya sanaa na biashara waliopo mjini na vijijini ili walimu waliozidi ambo wapo mjini wahamishiwe shule za vijijini". Tusaidiane kueleweshana kuhusu majibu ya naibu waziri Suleimani Jafo kuhusu ajira za walimu wa sanaa na biashara huku tukilinganisha na tamko la kukanusha uvumi wa wahitimu wa masomo ya sanaa na biashara kutoajiliwa hadi uhitaji wao utakapo onekana. Je ajira hizo hazipo kabisa au nimemuelewa vibana? Nawasilisha mada.
 
Naibu waziri Suleimani Jafo amesema "kwa walimu wa masomo ya sanaa na biashara serikali inafanya tathmini ya walimu wa masomo ya sanaa na biashara waliopo mjini na vijijini ili walimu waliozidi ambo wapo mjini wahamishiwe shule za vijijini". Tusaidiane kueleweshana kuhusu majibu ya naibu waziri Suleimani Jafo kuhusu ajira za walimu wa sanaa na biashara huku tukilinganisha na tamko la kukanusha uvumi wa wahitimu wa masomo ya sanaa na biashara kutoajiliwa hadi uhitaji wao utakapo onekana. Je ajira hizo hazipo kabisa au nimemuelewa vijana? Nawasilisha mada.
Bila shaka ajira hizo hazipo, ila leo hajagusia swala la walimu wa biashara, amesema wa sanaa!! Kama wamezidi mpaka wapelekwe primary, nadhani mimi nilienyumbani bado ndio nisahau, ukizngatia ni wabana matumizi.

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Naibu waziri Suleimani Jafo amesema "kwa walimu wa masomo ya sanaa na biashara serikali inafanya tathmini ya walimu wa masomo ya sanaa na biashara waliopo mjini na vijijini ili walimu waliozidi ambo wapo mjini wahamishiwe shule za vijijini". Tusaidiane kueleweshana kuhusu majibu ya naibu waziri Suleimani Jafo kuhusu ajira za walimu wa sanaa na biashara huku tukilinganisha na tamko la kukanusha uvumi wa wahitimu wa masomo ya sanaa na biashara kutoajiliwa hadi uhitaji wao utakapo onekana. Je ajira hizo hazipo kabisa au nimemuelewa vibana? Nawasilisha mada.
Leo kasema waliozidi wanahamishiwa shule za msingi.
 
Sawa watoe tamko ajira zipo au hazipo so kama una degree ukapelekwa pprimary mshahara ni sawa na wa dploma au?na kama wamezidi means hawa wahtaji wa ajira hawatapata nafas ya kuajiriwa hata primary ? Mwenye ufahamu na hilo swali waliulizaje hapo bungeni?
 
Serikali imedhamiria kupiga chenga tu haya mambo, kila siku kinaibuka kipya..... Mara watumishi hewa, mara vyeti feki, mara wanafunzi hewa, mara kuhamia dodoma muda huo eti AJIRA ZIMESIMAMA, UHAMISHO, KUPANDA DARAJA VYOTE VIMESIMAMA
Tumaini lililojengwa kipindi cha kampeni tofauti na yanayofanyika sasa.....

Tumewapiga kwenye vijijii.....tunawanyooosha vitongojini ccm mbele kwa mbele!!!!
Na wanatupiga kimaisha mtaani.
 
Kwa sasa tunajiandaa kuagiza Bombardier Canada
 
Back
Top Bottom