Huo umoja wenu unajulikana? Je mmeusajili? Jinsi Mkulu mnavyomuuliza kuhusu Ajira zenu ndo mnamtia hasira anaweza akafuta kabisa..[
Bora zifutwe kabisa kuliko kila baada ya muda zinazuka sababu.
Binafsi jamaa alie andika huu uzi amenigusa sana.
Wakat huu ninao pitia kama ulivyo elezea hapo juu ni wamaumivu sana upande wangu.
Bora ijulikane moja ajira hazito kuepo basi kuliko mara mara mzimu huu mara mzimu ule.
Inaweza ikawa ajira sio kipaombele cha serikal iwekwe wazi.
"ukwel humuweka mtu huru"
Up to now mwaka mzima umeishaa nilishindwa, nimeshindwa kufanya shugur yeyoye,
Nguo zangu zote zimeisha viatu vimeisha mpaka nakonda nawaza mengi sana..
Embu watupe GO ON
Tena nikiwa kaka mkubwa wa familia na wadogo zangu ambao huwa wana niona potential kwao achilia mbal wazaz
HII IMENITOKEA MARA MBIL SIKU YA KUKABIDHIWA UENYEKIT RAIS MAGUFUR NILIKUA NASIKILIZA KUPITIA KAKIJIREDIO KA MZEE WANGU MZEE WANGU ALIKUA HAYUPO ALIPO RUD
ILIKUA NI ZAMU YA MZEE MAKAMBA KUHUTUBIA
MZEE MAKAMBA ALIPO KUA ANATOA NONDO ZAKE MARA GAFLA NILISIKIA SAUT
YA UKAL KUTOKA KWA MZEE WANGU ZIMA REDIO YANGU UNAMALIZA BETRI YANGU KWA KUSIKILIZA UPUUZ
"ALINITUKANA SANA"
MARA YA PILI NIKIWA NASIKILIZA HOTUBA YA MAGUFUR KUPITIA REDIO YAKE ALINIKUTA TENA "HIVI WEWE UNA IPENDEA NN CCM AMBAYO IMESHINDWA HATA KUKUPA AJIRA
KODI NDIO KODI MPAKA KWA WALALA HOI ALINIKALIPIA NA GADHABU NYINGI NILIZIMA REDIO NAKUONDOKA SIKU MJIBU KUTU..
OMBI LANGU WAWE WAWAZ TUJUE MBIVU NA MBICHI THIS WEEK.
Yaan wakisema ukweli itstusaidia kutune akili sehem nyingine....... Na si ahadi hewa toka mwezi wa pili.Bora kama zifutwe zifutwe basi likajukikana moja sa....kuliko kila baada ya muda kufika zinazuka sababu.
Binafsi jamaa alie andika huu uzi amenigusa sana.
Wakat huu ninao pitia kama ulivyo elezea hapo juu ni wamaumivu sana upande wangu.
Bora ijulikane moja ajira hazito kuepo basi kuliko mara mara mzimu huu mara mzimu ule.
Inaweza ikawa ajira sio kipaombele cha serikal iwekwe wazi.
"ukwel humuweka mtu huru"
Up to now mwaka mzima umeishaa nilishindwa, nimeshindwa kufanya shugur yeyoye,
Nguo zangu zote zimeisha viatu vimeisha mpaka nakonda nawaza mengi sana..
Embu watupe GO ON
Tena nikiwa kaka mkubwa wa familia na wadogo zangu ambao huwa wana niona potential kwao achilia mbal wazaz
HII IMENITOKEA MARA MBIL SIKU YA KUKABIDHIWA UENYEKIT RAIS MAGUFUR NILIKUA NASIKILIZA KUPITIA KAKIJIREDIO KA MZEE WANGU MZEE WANGU ALIKUA HAYUPO ALIPO RUD
ILIKUA NI ZAMU YA MZEE MAKAMBA KUHUTUBIA
MZEE MAKAMBA ALIPO KUA ANATOA NONDO ZAKE MARA GAFLA NILISIKIA SAUT
YA UKAL KUTOKA KWA MZEE WANGU ZIMA REDIO YANGU UNAMALIZA BETRI YANGU KWA KUSIKILIZA UPUUZ
"ALINITUKANA SANA"
MARA YA PILI NIKIWA NASIKILIZA HOTUBA YA MAGUFUR KUPITIA REDIO YAKE ALINIKUTA TENA "HIVI WEWE UNA IPENDEA NN CCM AMBAYO IMESHINDWA HATA KUKUPA AJIRA
KODI NDIO KODI MPAKA KWA WALALA HOI ALINIKALIPIA NA GADHABU NYINGI NILIZIMA REDIO NAKUONDOKA SIKU MJIBU KUTU..
OMBI LANGU WAWE WAWAZ TUJUE MBIVU NA MBICHI THIS WEEK.
majibu haya yalitolewa lini# Haya ndio majibu ya waziri Simbachawene kuhusu ajira mpya.... Mjadala ulikuwa katika group la whattsp la Nchi Yangu Kwanza.......
Suala la lini vijana waliomaliza vyuo watapata ajira za serikali limekuja kuwa gumu na muda kusogezwa kutokana na tatizo la watumishi hewa , ambapo hadi sasa zaidi ya 12,000 wamegundulika .Ndiyo maana serikali ikasitisha kutoa ajira mpya hadi tujridhishe vya kutosha , lakini pia hata ikiwezekana twende zaidi ya hapo na kujua kama hivi watumishi wote ambao wameajiriwa na serikali wanaulazima wakuendelea nao wakati kada muhimu zinazohitajika kwa huduma za jamii kama Afya na Elimu zina upungufu mkubwa wa watumishi? Bila Shaka mkiuelewa ukweli huu mtaendelea kuwa wavumilivu ili kuipa fulsa serikali hii mpya kupanga mambo yake kwa utaratibu mzuri wa uwazi na ukweli ili kupanua fulsa kwa watu wengi zaidi wenye sifa na wanaohitajika kuajiriwa na serikali ili huduma za jamii ziweze kuboreshwa zaidi,kwani hata hao hewa walikuwa wameziba fulsa za ajira kwa watoto wa masikini, ...
Muelewe pia kuwa kuna wale wa vyeti vya bandia nao wanapaswa wawapishe watu wenye sifa..... Hata hivyo ujueni ukweli ufuatao kwamba serikali peke yake haitakuwa na uwezo kuwaajiri watanzania wote wanaotafuta ajira maana ni wengi kuliko mahitaji yake na uwezo wa uchumi wetu, hivyo hata zitakapotoka sio wote watakaopata nafac,
Ipeni serikali yenu nafac ifanye mambo kwa umakini ili kuondokana na matatizo ya huko nyuma ya watumishi kuidai serikali madai mbalimbali kutokana na utaratibu mbovu kama huu mnaotaka serikali kuwaajiri watumishi wapya kwashinikizo baadae yaibuke madeni yasiyonamsingi wowote!
Nawasihi vuteni subira wenye sifa nawatakaohitajika wakati ukifika watapata nafac..
Tunaendelea nayo vuteni subira! Tu nataka kujiridhisha kwa mambo yote ikiwa ni pamoja na haki na stahili zote za watakaopata fulsa hiyo,
George B Simbachawene (mb)
Waziri- TAMISEMI
Huyo aliendika hilo hajielewi ni k.i.l.a.z.a maana eti alitoa whatsApp Simbachawene alikuwa anachart nao, etu kisa kwenye jina/name ktk nsnba hyo pameandikwa Simbachawene ambapo n mtu yyte anaweza akaandika hilo jina.majibu haya yalitolewa lini
Neema inakujaHuo umoja wenu unajulikana? Je mmeusajili? Jinsi Mkulu mnavyomuuliza kuhusu Ajira zenu ndo mnamtia hasira anaweza akafuta kabisa..
Basi subirini mana Neema yaja..ila usimuamini sana mtu anaitwa mwanasiasa hata akiwa ni baba/mama yako.
na wala sitaki uniamini ila vibali vilitoka toka 16 aug. endelea kutokuamini.Wewe jamaa, msema kweli ni mpenzi wa mungu, kiukweli huwa sikuamini.
naona uhaba wa ufahamu kuhusu taratibu na kanuni za utoaji habari kwa umma. habari kuhusu swala nyetijama hilo hazitolewi kwenye magroup ya whatsap.# Haya ndio majibu ya waziri Simbachawene kuhusu ajira mpya.... Mjadala ulikuwa katika group la whattsp la Nchi Yangu Kwanza.......
Suala la lini vijana waliomaliza vyuo watapata ajira za serikali limekuja kuwa gumu na muda kusogezwa kutokana na tatizo la watumishi hewa , ambapo hadi sasa zaidi ya 12,000 wamegundulika .Ndiyo maana serikali ikasitisha kutoa ajira mpya hadi tujridhishe vya kutosha , lakini pia hata ikiwezekana twende zaidi ya hapo na kujua kama hivi watumishi wote ambao wameajiriwa na serikali wanaulazima wakuendelea nao wakati kada muhimu zinazohitajika kwa huduma za jamii kama Afya na Elimu zina upungufu mkubwa wa watumishi? Bila Shaka mkiuelewa ukweli huu mtaendelea kuwa wavumilivu ili kuipa fulsa serikali hii mpya kupanga mambo yake kwa utaratibu mzuri wa uwazi na ukweli ili kupanua fulsa kwa watu wengi zaidi wenye sifa na wanaohitajika kuajiriwa na serikali ili huduma za jamii ziweze kuboreshwa zaidi,kwani hata hao hewa walikuwa wameziba fulsa za ajira kwa watoto wa masikini, ...
Muelewe pia kuwa kuna wale wa vyeti vya bandia nao wanapaswa wawapishe watu wenye sifa..... Hata hivyo ujueni ukweli ufuatao kwamba serikali peke yake haitakuwa na uwezo kuwaajiri watanzania wote wanaotafuta ajira maana ni wengi kuliko mahitaji yake na uwezo wa uchumi wetu, hivyo hata zitakapotoka sio wote watakaopata nafac,
Ipeni serikali yenu nafac ifanye mambo kwa umakini ili kuondokana na matatizo ya huko nyuma ya watumishi kuidai serikali madai mbalimbali kutokana na utaratibu mbovu kama huu mnaotaka serikali kuwaajiri watumishi wapya kwashinikizo baadae yaibuke madeni yasiyonamsingi wowote!
Nawasihi vuteni subira wenye sifa nawatakaohitajika wakati ukifika watapata nafac..
Tunaendelea nayo vuteni subira! Tu nataka kujiridhisha kwa mambo yote ikiwa ni pamoja na haki na stahili zote za watakaopata fulsa hiyo,
George B Simbachawene (mb)
Waziri- TAMISEMI
Ila haijasemwa itakua lini.... Mmh