Wahanga wa ajira za ualimu

Wahanga wa ajira za ualimu

hivi wanaotaka ajira ni walimu tu!
maana kila siku utasikia ajira za ualimu zitatoka lini? kama nshu ni kuajiri walimu tu basi serikali iendelee kuuchuna tu.
Wengine wapo kimya wakijifanya hawana dhiki na ajira ila walimu ndio wanaonekana ndio wenye dhiki zaidi .Hongera walimu kwa kuonesha ujasiri wenu
 
Serikali imedhamiria kupiga chenga tu haya mambo, kila siku kinaibuka kipya..... Mara watumishi hewa, mara vyeti feki, mara wanafunzi hewa, mara kuhamia dodoma muda huo eti AJIRA ZIMESIMAMA, UHAMISHO, KUPANDA DARAJA VYOTE VIMESIMAMA
Tumaini lililojengwa kipindi cha kampeni tofauti na yanayofanyika sasa.....

Tumewapiga kwenye vijijii.....tunawanyooosha vitongojini ccm mbele kwa mbele!!!!
 
Kama mko upande mmoja si mngekuja na Tamko moja kupitia vyombo vya habari na mkasikilizwa hatimae maombi yenu yakafanyiwa kazi kama vifanyavyo vyama vingine vya kutetea wafanyakazi,wanafunzi na nk
Wewe jamaa napata mashaka na ukakasi mkubwa juu ya uwezo wako wa kuelewa..... Ungekuwa unaelewa maana ya divide and rule usingepata ujasiri wa kusema hivyo. Hata JF ni sehemu ya vyombo vya kupashana habari, ndio maana hata wewe hii habari imekufikia.
 
Serikali imedhamiria kupiga chenga tu haya mambo, kila siku kinaibuka kipya..... Mara watumishi hewa, mara vyeti feki, mara wanafunzi hewa, mara kuhamia dodoma muda huo eti AJIRA ZIMESIMAMA, UHAMISHO, KUPANDA DARAJA VYOTE VIMESIMAMA
Tumaini lililojengwa kipindi cha kampeni tofauti na yanayofanyika sasa.....

Tumewapiga kwenye vijijini.....tunawanyooosha vitongojini ccm mbele kwa mbele!!!!
Eti saa hz wameanza tena uhakiki wa account za watumishi.
 
Kama mkuu wa kaya hatoleta pingamizi bas next week mambo yatakuwa ok,wenye kubahatika watakwenda naujue wapo wakubaki pia,coz pesa ndo tatizo chalii ,na vilevile usishangae wakaja na system ya GPA ,meanz wale wa 3.5 ndo wataajiriwa ma wengine watapigwa chini,yote ni kubana coz money hakuna .na zikitoka watalia wengi xna juu ya utolewaji wake,coz inaweza hata ile idadi ya elfu35 ikapinguzwa ndugu.na sijui zp zitaanza walimu au afya coz wote kwa pamoja haiezekani,jombii
 
Wewe jamaa napata mashaka na ukakasi mkubwa juu ya uwezo wako wa kuelewa..... Ungekuwa unaelewa maana ya divide and rule usingepata ujasiri wa kusema hivyo. Hata JF ni sehemu ya
vyombo vya kupashana habari, ndio maana hata wewe hii habari imekufikia.
Hongera wewe mwenye uelewa mkubwa
 
Kama mkuu wa kaya hatoleta pingamizi bas next week mambo yatakuwa ok,wenye kubahatika watakwenda naujue wapo wakubaki pia,coz pesa ndo tatizo chalii ,na vilevile usishangae wakaja na system ya GPA ,meanz wale wa 3.5 ndo wataajiriwa ma wengine watapigwa chini,yote ni kubana coz money hakuna .na zikitoka watalia wengi xna juu ya utolewaji wake,coz inaweza hata ile idadi ya elfu35 ikapinguzwa ndugu.na sijui zp zitaanza walimu au afya coz wote kwa pamoja haiezekani,jombii
Ee..... Wewe unatia matumaini kwa mtu kama mimi nilieumia na mhanga juu ya hilo. Be blessed. Nchi hii inahtaji watu kama wewe....... Si kuegemea sehem fulan kisa kinachofanywa sehem hyo kinafanywa na watu wa itikadi zako.
 
hivi wanaotaka ajira ni walimu tu!
maana kila siku utasikia ajira za ualimu zitatoka lini? kama nshu ni kuajiri walimu tu basi serikali iendelee kuuchuna tu.
Mkuu hili ni jukwaa gani??? Kama unataka kusikia ya wengine nenda kule jukwaa la nafasi za ajira
 
Changamoto bado ni nyingi kulingana na mikakati serikali iliyonayo,mfano kama asemavyo,uhakiki wa waajiriwa hewa,hamiahamia ya dodoma,ukosefu wa fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo,uhakiki wa account za wafanyakazi,.
Sielewi,mana kuna haja ya kusoma alama za nyakati la sivyo,suala la ajira kwa walimu itabaki kuwa chenga.
 
Kama mkuu wa kaya hatoleta pingamizi bas next week mambo yatakuwa ok,wenye kubahatika watakwenda naujue wapo wakubaki pia,coz pesa ndo tatizo chalii ,na vilevile usishangae wakaja na system ya GPA ,meanz wale wa 3.5 ndo wataajiriwa ma wengine watapigwa chini,yote ni kubana coz money hakuna .na zikitoka watalia wengi xna juu ya utolewaji wake,coz inaweza hata ile idadi ya elfu35 ikapinguzwa ndugu.na sijui zp zitaanza walimu au afya coz wote kwa pamoja haiezekani,jombii
Asante kjana japo no source bt una uwezo mkbwa wa kumfalj mgonjwa.
 
Changamoto bado ni nyingi kulingana na mikakati serikali iliyonayo,mfano kama asemavyo,uhakiki wa waajiriwa hewa,hamiahamia ya dodoma,ukosefu wa fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo,uhakiki wa account za wafanyakazi,.
Sielewi,mana kuna haja ya kusoma alama za nyakati la sivyo,suala la ajira kwa walimu itabaki kuwa chenga.
Acha ushamba ww kila sekta imepangiwa bajeti yake sasa maswala ya kuhamia dodoma yanaingiaje kwenye elimu
 
*UMOJA WA VIJANA WANAOSUBIRIA AJIRA (UVITA)*

Tumekuwa tukidharaulika sana mitaani kwa kukosa *ajira* lakini pia kwa kuswema vibaya kuwa sisi ni wazembe kwanini hatujishughulishi na mambo mengi ya kujipatia kipato hadi tuanze kulalamika lalamika kudai ajira.

Nataka niwakumbushe kuwa sisi tulimaliza mwaka *2015* kuanzia mwezi wa tano (may )hadi mwezi wa nane ( august . Kuanzia mwezi November hadi January ndio tulikuwa tunamaliza graduation kwa kila chuo.

Kwa hiyo tulianza harakati za kutafuta temple na kazi ndogo ndogo hasahasa kuanzia mwezi January. lakini kabla hatujakaa sawa tukapata kauli kutoka kwa naibu waziri tamisemi ndugu *Selemani Jafo* kuwa ajira zingetoka mapema sana mwaka huu. (wenye nia ya kufuga waliacha , wenye nia ya kulima waliacha, waliokumbana na mikataba walikataa ) kutokana na kauli ya Naibu waziri.

Kuanzia hapo tukambana na matamko mengi kitu ambacho sio tu kilitufanya kusite kuanzisha miradi lakini pia kilitupa hasara kwa mfano (akiwa bungeni waziri *Simbachawene* alisema ajira zitatoka mwezi mei) vijana walikopa nauli kwenda kufuata vyeti , sehemu mbalimbali ,wengine wachache waliobahatika kupata mkataba wa muda mfupi walisitisha mikataba *Mimi binafsi niliuza shamba langu* kwa lengo la kufuata vyeti vyangu ili kujiandaa. kwa masikitiko makubwa kabisa ajira hazikutoka ,wengi tulikata tamaa tuliingia kwenye madeni ,tulipata mkanganyiko wa mawazo na wengine walikosa vibarua.

lakini wakati tunasema ngoja sasa tuanze kufiriki kwa upande wa pili ,Mh rais anatuambia tusubiri baada ya mwezi mmoja au miwili (ni vigumu kuingia mkataba private wakati Rais kakuambia usubiri miezi miwili ). lakini cha ajabu miezi miwili hiyo imepita na hakuna lolote kiukweli tumesikitishwa sana na ahadi hewa ,tumedhalilishwa kisaikolojia , Mimi sasa nina vidonda vya tumbo , mana shamba langu niliunza.

sasa *UVITA* inataka kujua mambo yafuatayo :-

1. *Je ajira za walimu mwa huu zipo au hazipo.*

2. *Kama zipo, Ni lini ajira hizo zitatangazwa?*

3. *Kama hazipo UVITA tunataka tupewe taarifa mapema (wiki hii) ili kuondekana na high depression tuliyokuwa nayo*

Sio kwamba sisi walimu ni wajinga sana hapana ila tumelelewa katika misingi ya *kizalendo* *hatulilii ajira tunalilia kwenda kumsaidia mtoto wa maskini*. Jua kwamba kuna walimu walikaa zaidi ya miezi mitatu hawakupata mishahara ila kwa kuwa nia yao kubwa ni kumkomboa maskini waliendelea kufundisha.

Je tukiamua kuingia mikataba katika shule za private mtoto wa maskini kama mimi kule kaliua Tabora atafundishwa na nani ?

*Sasa serikali iseme tu ..kuwa mwaka huu hakuna ajira , na watoto wa maskini huku ngara watajua wenyewe*. waone kama sisi tutalalamika tena kuhusu ajira.
inasikitisha kuona uzalendo wetu ndio unatuumiza.

~MUNGU MBARIKI RAIS WETU, ILI IKIWEZEKANA ATOE TAMKO, SI KAMA TUPENDAVYO SISI, BALI NI KWA MAPENZI YAKO EE MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI~
Kuwa na subira may be kuanzia sep 15
 
Back
Top Bottom