Wahamiaji haramu: Makonda aagiza kila mtaa jijini Dar es Salaam uwe na daftari la wakazi wageni wakija wasajiliwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Mkuu wa mkoa wa Dsm Mh Makonda amesema utaratibu wa kuwepo daftari la wakazi kwa kila mtaa urejeshwe mara moja.

Makonda amesema ili kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu ni lazima wakazi wa kila mtaa wakafahamika na wageni wanaokuja kusalimia taarifa zao zipelekwe kwa mjumbe wa serikali ya mtaa.

Makonda amekumbusha kuwa hivi sasa tunaelekea kwenye uchaguzi hivyo swala la ulinzi wa amani yetu halina mbadala.

Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!
 
Unapokosa kazi ya kufanya sasa unafosi ili uwonekane hupo hapo south nimekaa miaka miwili ayo mambo akuna
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema utaratibu wa kuwepo daftari la wakazi kwa kila mtaa urejeshwe mara moja.
Makonda amesema ili kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu ni lazima wakazi wa kila mtaa wakafahamika na wageni wanaokuja kusalimia taarifa zao zipelekwe kwa mjumbe wa serikali ya mtaa.

Makonda amekumbusha kuwa hivi sasa tunaelekea kwenye uchaguzi hivyo swala la ulinzi wa amani yetu halina mbadala.

Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!
Kazi ipo
 
Wandugu,

Suala la wahamiji haramu ni uswahili wa makonda ili kuzima tukio la jana la kinachoitwa maandamano ubalozi wa SA kudai ndege.

Sakata hilo la maandamano limeshaanza kuwa la moto sababu serikali ya SA inashinikiza usalama wa maafisa wao nchini hapa.

Mratibu wa maandamano ni Albert Bashite,Siro na Kibonge mkata viuno.

Nasikia mission yao hawakuifanikisha na hawakuwaza mbele na hivyo kupelekea sasa aliyewatuma jiwe kuwa mbogo kwani badala ya kushawishi wameharibu zaidi.

Hivyo bashite anajaribu kutumia kila mbinu ili hili la maandamano lisiendelee kutrend kwenye vichwa vya watz na hata kimataifa.

Swelana
 
Hata Mimi jana nilijua kuwa mlatibu wa maandamano feki alikuwa DAB,kapima upepo kajua amehalibu kabisa,ndiyo maan akaona alete igizo jipya ili kututoa kwenye msitali,
 
Back
Top Bottom