Wahadhiri wa COET UDSM badilisheni mfumo wa ufundishaji Chuoni.

Hahahaha,,, aliyetuloga kafa
Unamkuta mtu Profesa kavaa miwani na suti, midevu kama yote kasimama kwenye banda la maonyesho 7-7 anaelezea jinsi mashine ya kufyatulia tofali inavyofanya kazi. Yaan mishipa ya shingo inamtoka kabisa.
 
Hahahahahaha,, mbavu zangu mie, aisee ni kweli kabisa umeongea pointi mkuu proffesor karne hii eti anaelezea mashine ya kufyatulia tofali inachekesha sana kwakweli

Back
Top Bottom