Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Aisee..
Kwa hiyo hao Ha wanatakiwa huko Rwanda, au?
Hizo ni janja za kagame kutaka kuongeza ardhi
Hahaha..Hiyo ni kuhangaika kuongeza ardhi hawana haja na watu
Watanzania wanaweza kuwa wajinga.....Hiyo ni kuhangaika kuongeza ardhi hawana haja na watu
Mimi nilikuwa nikifikiribWaha Wana unasaba na Warundi! Wanasikilizana lugha.
Hizo ni janja za kagame kutaka kuongeza ardhi
kwahiyo kina zitto ni wanyarwanda?
Kuwa muelewa, waha hawajawahi sema chochote wala hawahangaiki. Anayehangaika ni PK, anataka kuleta za Idd Amin kuhusu kagera.Kama wanaipenda sana rwanda, Burundi Na DRC basi Warejee huko
Tz ni ya watanzania Kwa makabila yake... ukiona kabila lako lipo india una taka kusogeza mpaka hadi singida😂 haito kubalika, au kwenu Oman unataka kusogeza mpaka hadi bagamoyo, hii sio sawa bora urejee wewe kwa babu zako au asili yako😂
warundi pia wanaongea lugha ileile ya rwanda. hivyo inawezekana ni kweli, watu wote wa burundi, rwanda, kigoma ni walewale tu ila hiyo haimaanishi kwamba ni wanyarwanda, kwasababu makabila yote ya mipakani yapo pande zote mbili za nchi zilizoko mipakani. hao wameru wa arusha na wamasai hata kenya wapo hivyo hivyo, hao kina mwita hata kenya wapo kwa majina na tamaduni hizo hizo, hao wajaluo, hao wahaya na uganda wanaendana vilevile, hao wanyasa wa malawi na wanyasa wa tanzania ni wale wale hadi kuna kipindi wanyasa wa malawi walikuwa wanataka kujitoa malawi wawe watanzania kwa sababu wanatengwa, wamakonde wapo msumbiji na mtwara, na wayao pia, wazigua wapo tanga na kenya pia. wachaga na wakenya wametenganishwa na mlima tu. kwahiyo kama yeye anasema kigoma ni rwanda hata sisi tuna haki kusema Rwanda ilikuwa Tanzania na tunaweza kuichukua kama vipi.Mimi nilikuwa nikifikiribWaha Wana unasaba na Warundi! Wanasikilizana lugha.
Zitto ni Mmanyema, kama sikosei.kwahiyo kina zitto ni wanyarwanda?
"...tunaweza kuichukua kama vipi"🤣🤣warundi pia wanaongea lugha ileile ya rwanda. hivyo inawezekana ni kweli, watu wote wa burundi, rwanda, kigoma ni walewale tu ila hiyo haimaanishi kwamba ni wanyarwanda, kwasababu makabila yote ya mipakani yapo pande zote mbili za nchi zilizoko mipakani. hao wameru wa arusha na wamasai hata kenya wapo hivyo hivyo, hao kina mwita hata kenya wapo kwa majina na tamaduni hizo hizo, hao wajaluo, hao wahaya na uganda wanaendana vilevile, hao wanyasa wa malawi na wanyasa wa tanzania ni wale wale hadi kuna kipindi wanyasa wa malawi walikuwa wanataka kujitoa malawi wawe watanzania kwa sababu wanatengwa, wamakonde wapo msumbiji na mtwara, na wayao pia, wazigua wapo tanga na kenya pia. wachaga na wakenya wametenganishwa na mlima tu. kwahiyo kama yeye anasema kigoma ni rwanda hata sisi tuna haki kusema Rwanda ilikuwa Tanzania na tunaweza kuichukua kama vipi.