gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 412
kwa wale wote wenye matatizo kutopata mimba ya njoo au ni call 0755561008 jaribu na hii acha kujivunga utanyonyesha ndani mda mfupi
Acha kudhihaki watu wenye matatizo kama wewe Mungu amekujali usifanyie mzaha wenzako.
amedhihaki wapi hapo? kasema anayo dawa waende wakajaribu,
tatizo la jf ni mtu kutaka kukoment hata kama hana cha kusema,
Ndio anakejeli. Huwezi kumwambia mgumba akufuate bila kumuambia msingi wa huo utabibu wako ni upi. Kuna wanaowaombea wengine kwa Mungu (Maombi), kuna dawa za mitishamba (utabibu) na wengine ni washirikina kama yule wa Mwembe chai ambaye amerithi ushirikina kwa marehemu baba yake.
Sasa mtu akupigie hivi ikiwa ni nje ya imani yake?
namba ya simu si ipo mtu si anapiga anauliza,
au kama unataka afunguke kimaelezo si unasema afunguke kwenye koment,
tunatofautiana uelewa na thinking,
Sure...tunatofautiana.
Ndo maana uelewa wako na thinking level yako sawa na ya Wassira.