Wagonjwa wa akili

Wagonjwa wa akili

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Wagonjwa wawili wa akili, walipanga kutoroka wodini katika Hospitali ya vichaa.
Na mpango ulikuwa wakifika getini wamuue mlinzi, ili waweze kutoroka kirahisi, lakini walipofika getini hawakumkuta mlinzi, wakajikuta wanaongea kwa huzuni loooh!!! Mlinzi hayupo! Safari yetu imekwisha haribika turudi!
 
Back
Top Bottom