Wagombea wa Urais 2015...

Hao wote hakuna rais hapo. Rais ni prof. Anna tibaijuka tu. Watanzania tunataka kiongozi na si mtawala. Prof. Anna tibaijuka anafaa kuwa rais ni chaguo? La wanyonge watanzania vijana wasomi na anaguswa na homa za watanzania
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe haieleweki.

Inaonekana ulikimbia umande.
 
Hivi Lowasssa kafanya nini, kazi yake ya mwisho serikalini ilikuwaje? na je ana msimamo gani kwenye katiba.
 
hivi kweli kuna watu wanaamini kuwa silaa anaweza kuwa rais, mimi ninadhani msipoteze mda wenu, rais lazima atoke ccm, bisha usibishe ukweli ndio, time will tell
 
hivi kweli kuna watu wanaamini kuwa silaa anaweza kuwa rais, mimi ninadhani msipoteze mda wenu, rais lazima atoke ccm, bisha usibishe ukweli ndio, time will tell

Hizi siyo tena zama za zidumu fikira za mwenyekiti na chama ndugu! Endapo ccm mtaboronga kupitisha jina la mgombea tutampigia mtu makini atakaye pitishwa na UKAWA. Asalaam aleykum!!
 
kwa upande wa ccm hapo hapajakaa sawa maana wazanzibar wanasema zamu hii ni yao kutoa mgombea wa muungano
 
kuna mtu unamtaka ubaya wewe si bure, wenzako tumeinvest tangu miaka mingi halafu leo tupeleke uraisi znz
 
wewe itakuwa ulikimbia viroboto vya funza madarasa ya vumbi,taabu sana .
 
Hao wote hakuna mtu. 2015 twamuhitaji rais mwanamke na msomi zaidi Tanzania
 
wewe ukawa mgombea ni mmoja hakuna cuf wala chadema wacha kupotosha.
 
Hao wote hakuna rais hapo. Rais ni prof. Anna tibaijuka tu. Watanzania tunataka kiongozi na si mtawala. Prof. Anna tibaijuka anafaa kuwa rais ni chaguo? La wanyonge watanzania vijana wasomi na anaguswa na homa za watanzania

jaman tujaribu kuwa serious ktk kuchangia hoja
 
Prof. Lipumba bila aibu kabisa anaweza kujitokeza tena kugombea? watu kama hawa ndio wanasababisha vyama vya upinzani viitwe ''vikoba'' au ''saccos'' za watu.
 
Wew uchambu wako umepnda sana.mie sina chama wala siluhusiwi kupiga kula kilingana na kaz yangu.nakwambia ukweli ccm tem hii nishada sana kaz wanayo.mi smsemaj sana npita2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…