Elections 2010 Wagombea uraisi vyama vya upinzani watabadilika 2010?

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Kama kuna kitu kinachonifanya nijiulize maswali mengi kichwani ni wagombea viti vya uraisi vyama vya upinzani. Toka mwaka 1995 wanaogombea ngazi ya uraisi wengi ni wale wale!

Hii inaleta picha gani? 2010 bado tutaona sura zile zile za 95 au tutakuwa na wagombea wapya?
 
Ama kwelii hakuna msikika yasiokuwa na mbu.
 
Politicians are politicians. Wengi wa viongozi wa upinzani wana tamaa kama viongozi wa CCM tu. Kila mmoja anautaka uraisi na kila mmoja ana tamani kuingia kwenye vitabu vya historia kama raisi wa kwanza kutoka upinzani tokea CCM ishike madaraka. They will try to run again but I doubt wata achia wengine nafasi kwa hiyari.
 
Nchi kama Tanzania inahitaji sana mabadiliko katika uongozi ili kuweza kuleta maendeleo ambayo kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakiyaota.

Kama kila mtu atakuwa na uchu wa madaraka na si uchu wa kuleta mabadiliko sioni ni lini tutabadilika!
 
Back
Top Bottom