Wagombea uraisi vyama vya upinzani watabadilika 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombea uraisi vyama vya upinzani watabadilika 2010?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ramthods, Aug 12, 2009.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kama kuna kitu kinachonifanya nijiulize maswali mengi kichwani ni wagombea viti vya uraisi vyama vya upinzani. Toka mwaka 1995 wanaogombea ngazi ya uraisi wengi ni wale wale!

  Hii inaleta picha gani? 2010 bado tutaona sura zile zile za 95 au tutakuwa na wagombea wapya?
   
 2. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Ama kwelii hakuna msikika yasiokuwa na mbu.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Politicians are politicians. Wengi wa viongozi wa upinzani wana tamaa kama viongozi wa CCM tu. Kila mmoja anautaka uraisi na kila mmoja ana tamani kuingia kwenye vitabu vya historia kama raisi wa kwanza kutoka upinzani tokea CCM ishike madaraka. They will try to run again but I doubt wata achia wengine nafasi kwa hiyari.
   
 4. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nchi kama Tanzania inahitaji sana mabadiliko katika uongozi ili kuweza kuleta maendeleo ambayo kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakiyaota.

  Kama kila mtu atakuwa na uchu wa madaraka na si uchu wa kuleta mabadiliko sioni ni lini tutabadilika!
   
Loading...