GE2025 Wagombea udiwani wasusia kusaini matokeo ya Uchaguzi Mkuranga idadi ya wajumbe na Kura ni tofauti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kipati3

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
10
Reaction score
5
Kufatia malalamiko na clip za video zilizokuwa zinatembea mitandaoni nchi nzima siku ya Jana. Clip za video zilizokuwa zinaonyesha wakinamama wa wanaccm wa wilaya ya mkuranga. wakiomba Masada na kulalamikia kukamata Kura feki wilayani humo katika mchakato wa Uchaguzi wa udiwani viti maalumu

Pamoja na malalamiko hayo Wasimamizi wa Uchaguzi huo siku ya Jana waliendelea kusimamia Uchaguzi huo bila ya kujali malalamiko.
Hata kitendo cha kuzimwa umeme na kuwashwa kila muda eneo la kuhesabia kura
Wasimamizi wa Uchaguzi huo waliendelea kupuuza kelele za wanaccm wenzao kitendo kilichopelekea wanaccm hao wakose Imani na wasimamizi wa Uchaguzi huo

Asubuhi ya Leo matokeo yametangazwa ayafanani na idadi ya wapiga kura

Kwa mfano tarafa ya kisiju
Ilikuwa na idadi ya wapiga kura 2812 ila Kura zilizohesabiwa ni 3250

Malalamiko rasmi yamefika CCM makao mkuu Dodoma
 
IMG-20250717-WA0009.jpg
 
Hiyo ndo ccm.Kwenye ubunge ndo itakuwa balaa
 
Back
Top Bottom