Wagombea udiwani wa CHADEMA waporwa fomu

Mie hujiuliza sana kule moshi kweli ndio wanayofundishwa haya, na kama wanafundishwa sidhani kama kuna wanaofeli, wakumbuke wana ndugu na jamaa zao, nao tuko nao kitaa
 
CCM Bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Baada ya Magufuli kuiua ccm kifo cha kikatiri sana , tegemeo pekee ni polisi , ikumbukwe kwamba ccm haiungwi mkono hata na wanachama wake
Endelea kuota tena mchana!
 
Tusijenge tabia ya kuamini wenzetu ni wasaliti.
Unaanza kuwalisha wenzie matango pori
kwavile unajua ni Vibendeara fuata upepo
basi nayo yatakuafiki!!
Maelezo yako hayana mashiko upuuzi mtupu
Mwenye Akili Ataelewa hao wagombea Wamesoma Aliama hawana nafasi yeyote
 
CCM Bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Baada ya Magufuli kuiua ccm kifo cha kikatiri sana , tegemeo pekee ni polisi , ikumbukwe kwamba ccm haiungwi mkono hata na wanachama wake
Mtaishia kuropoka ujinga
hao wagombea wanajua kuna waninga wenzie
rahisi kudanganyika
 
Sisi Kyela fomu hakukaa nazo mgombea fomu zililindwa na RB makini ambao walikwa saba na mgombea alilindwa vilivyo kyela usilete ujinga utatolewa roho... Ccm mkifanya figisu kyela mtakiona haki haiombwi
 
Hivi wanaopora fomu ni wajinga ama Wana hofu?

Kila mwaka ni kwa nini ni wagombea wa CHADEMA tu ndiyo wanaporwa fomu?
 
Back
Top Bottom