Wagombea Udiwani wa CHADEMA Vunjo, wamkataa Mbatia

Wagombea Udiwani wa CHADEMA Vunjo, wamkataa Mbatia

Cybercrime

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
3,246
Reaction score
1,113
Wagombea udiwani kupitia CHADEMA, jimbo la Vunjo , Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, wamesema hawapo tayari kumuunga mkono mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha NCCR- Mageuzi , anayewakilisha UKAWA, James Mbatia kwa madai kuwa bw. Mbatia amekiuka makubaliano ya umoja huo, hivyo wanampigia kampeni mgombea urais wa UKAWA, Edward Lowassa, lakini si mbunge wao ambaye amekuwa akiwapiga vita wagombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA.
Kwa mujibu wa madiwani hao , makubaliano aliyoyakiuka bwana Mbatia ni kusimamisha wagombea udiwani katika kata zote 16 za jimbo hilo.
Bw. Mbatia alipotafutwa kwa njia ya simu kuzungumzia madai hayo, simu yake iliita bila kupokelewa.
source: Majira.
2015-09-18 10.35.01.jpg
 
View attachment 288144

Huku Vunjo kwetu kwa Mbatia hakuna kitu kama hiko au kuna Vunjo nyingine tofauti ya ile ya Kilimanjaro?
 
Msimamo wa wagombea wa namna hiyo hutolewa kwa pamoja katika vyombo vya habari kamaTAMKO, Mleta mada umewalisha maneno wagombea wa CHADEMA
 
mbatia anataka kuwafanya watu wajinga yeye ahongwe na Lowasa halafu wengine awaburuze.
 
huku vunjo kwetu kwa mbatia hakuna kitu kama hiko au kuna vunjo nyingine tofauti ya ile ya kilimanjaro?

yesu na maria!!! Wachaga wamekisha....kama wagombea wao ni maleberali....sijui ujasiri wao umekwenda wapi...... This is the begining of fall of chaga empire!
 
Frola ni mwandishi wa habari na mwanachama wa TLP unategemea ataandika mazuri juu ya adui yao mbatia?? wakati anajua kuwa NCCR vunjo imechukua viti vyote kasoro vitatu tu katika uchaguzi wa serikali ya mitaa sasa hapo ndipo utakapojua asali na ndimi kipi kitamu??
 
Kwa propaganda za kijinga namna hii CCM kwisheney
 
Back
Top Bottom