Lowassa alitumwa kazi ameshaifanya pale chadema na sasa amerudi head office,Membe nae sasa yupo kazini hapo ACT akimaliza kazi nae atarudi Head office.Hata ccm walisema Lowasa ni mwiz na fisadi je Leo lowasa yuko chama gani?
Kwani aliwahi fukuzwa au kurudisha kadi ya CCM? Yuko kulekule alipokua anashughulikiwa amefanya toba na Malipizi ya mali alizofisadi
Lowasa tulimkataa kugombea urais waziwazi bila kupepesa macho wala huruma nyie mkajisahaulisha ufisadi wake mkampokea mkamsafisha na kumwomba agombee kwa chama chenu eti sababu atakuja na mtaji.Hahaha Sasa mtu ambae mlikuwa Mnamwona ni mwiz na fisadi Leo inakuwaje mnapokea na kumsafisha?
My point hapa ni kuwa hizo ni lugha za siasa tu
Nimekaa bungeni miaka 10 Yan wanasiasa sio watu wa kuwaamini kauli zao
Kwa anavyofanya ushaguzi ukipita Membe ataenda kufanya nini maana hata huko ACT ni mgombea tu hana cheo kingine hata kwenye vikao vya chama hawezi kuitwaNdo dk 89 za Membe hizi sio?
ACT ilikosea sana kumkaribisha Membe
Sasa mtu haonekani week tatu tangu kampeni zianze ulitegemea viongozi wafanye nini zaidi ya kuumga mkono Tundu Lissu
Kwa upumbavu wako unaona alichofanyiwa membe ni sawa? Mtu ajiwekeze kwa hali na Mali kwenye chama halafu dakika za mwisho mumuambie hamumtambui. Huo si utapeli wa kisiasa? Kwanini msiseme Zitto na Maalim wamenunuliwa na machadema? CCM ina interest gani hapo kwenye huo mgogoro wao?Yale Yale ya Pro, LIPUMBA na Dokta Slaa, ya kununuliwa na MaCCM ili KUVURUGA na KUUA UPINZANI,
Yalianzaga hivi hivi kama mzaha vile.
Membe Mungu anakuona.
Wanavurugana wao kwa wao...aseeVyama vya upinzani vimesheheni mambo ya kipuuzi!
Wakati wanaendelea kuvurugana sisi tunawaza shughuli ya kumuapisha rais John Pombe Joseph Magufuli itafanyika Dar es salaam au dodoma😍😛Wanavurugana wao kwa wao...asee
🤔🤔Tarehe28 lolote linaweza kutokeaWakati wanaendelea kuvurugana sisi tunawaza shughuli ya kumuapisha rais John Pombe Joseph Magufuli itafanyika Dar es salaam au dodoma😍😛
Hakika😁😁🤔🤔Tarehe28 lolote linaweza kutokea
Huyo slowslow ndo aloandika katiba ya ACT? ndo alowaambia waivunje?Dah! Sijui wamevuta bei gani kutoka kwa sloslow. Mzahazaha hivi hivi watu wanatolewa kwenye reli.
Siasa ni sayansi🤣🤣🤣Kyerwa mgombea wa ACT kakata steam kakimbilia Dar vile vile Kibamba hana chake.
Wameamua kuunga mkono.
Ule usemi wa wahenga Binadamu kiumbe mzito nadhani walimlenga ZitoKabwe 🤣🤣🤣🤣Lissu ni kibaraka, Maalim Seif ni dikteta wa ukweli na Zitto ni ndumila kuwili na mropokaji.
Huyo Zitto aliwahi kusema sehemu moja huko Kigoma wamekufa zaidi ya watu 200 na alipotakiwa kuonyesha makaburi au mabaki ya wahanga akawa anazungusha tu macho...akahojiwa na vyombo vya habari vya nje kuhusu Corona na akasema hapa TZ hali ni mbaya na watu wanakufa ovyo..dah..Sasa hivi hata barakoa haijui...upinzani wa TZ ni watu wa hovyo kabisa...ni malaghai na matapeli wa kisiasa...hovyo kabisa...Leo anasema hiki na kesho wanasema kile...Ngoja tuwaadhibu kwenye sanduku la kura Hawa vibaraka na kuwazika kabisa kisiasa...
Ha ha ha Chama cha Mbowe cha hovyo sana. Hivi kule kwenye chama chenu mtu bright ni nani?. Maana kuanzia mwenyekiti mpaka shabiki ni utopolo mtupu.Chama kilicholaaniwa hicho.Wote Wahaya , ccm chama cha vilaza.
Yale Yale ya Pro, LIPUMBA na Dokta Slaa, ya kununuliwa na MaCCM ili KUVURUGA na KUUA UPINZANI,
Yalianzaga hivi hivi kama mzaha vile.
Membe Mungu anakuona.
Hakuna shida yeyote wala. Hao ni Ccm wameamua kutoa silaha zao zote kupambana baada ya kuona maji ya Tundu Lissu na Maalim Seif yamewafika kwenye koo.