Uchaguzi 2020 Wagombea Ubunge wawili wa ACT-Wazalendo wawajia juu Maalim Seif na Zitto Kabwe kwa kumuunga mkono Tundu Lissu

Kwani aliwahi fukuzwa au kurudisha kadi ya CCM? Yuko kulekule alipokua anashughulikiwa amefanya toba na Malipizi ya mali alizofisadi

Hahaha Sasa mtu ambae mlikuwa Mnamwona ni mwiz na fisadi Leo inakuwaje mnapokea na kumsafisha?

My point hapa ni kuwa hizo ni lugha za siasa tu

Nimekaa bungeni miaka 10 Yan wanasiasa sio watu wa kuwaamini kauli zao
 
Hahaha Sasa mtu ambae mlikuwa Mnamwona ni mwiz na fisadi Leo inakuwaje mnapokea na kumsafisha?

My point hapa ni kuwa hizo ni lugha za siasa tu

Nimekaa bungeni miaka 10 Yan wanasiasa sio watu wa kuwaamini kauli zao
Lowasa tulimkataa kugombea urais waziwazi bila kupepesa macho wala huruma nyie mkajisahaulisha ufisadi wake mkampokea mkamsafisha na kumwomba agombee kwa chama chenu eti sababu atakuja na mtaji.

Hiyo ni aibu kubwa sana kwa chadema
 
Ndo dk 89 za Membe hizi sio?
ACT ilikosea sana kumkaribisha Membe
Sasa mtu haonekani week tatu tangu kampeni zianze ulitegemea viongozi wafanye nini zaidi ya kuumga mkono Tundu Lissu
Kwa anavyofanya ushaguzi ukipita Membe ataenda kufanya nini maana hata huko ACT ni mgombea tu hana cheo kingine hata kwenye vikao vya chama hawezi kuitwa
 
Tatizo la upinzani wetu ni watu kuitana wasaliti wakasemana na baadae wakaungana tena,sa sijui usaliti ndio tatizo au tatizo ni kupishana hoja.
 
Yale Yale ya Pro, LIPUMBA na Dokta Slaa, ya kununuliwa na MaCCM ili KUVURUGA na KUUA UPINZANI,
Yalianzaga hivi hivi kama mzaha vile.
Membe Mungu anakuona.
Kwa upumbavu wako unaona alichofanyiwa membe ni sawa? Mtu ajiwekeze kwa hali na Mali kwenye chama halafu dakika za mwisho mumuambie hamumtambui. Huo si utapeli wa kisiasa? Kwanini msiseme Zitto na Maalim wamenunuliwa na machadema? CCM ina interest gani hapo kwenye huo mgogoro wao?
 
Wajiondoe mapema hawa atakama wangepita ndiowale waunga juhudi za kuzichoma nyavu zetu
Niwatu wasiotambua walaumiane wasilaumiane muda huu wanakipoteza chama chao lakini kwa watu wanataka haki tayari tupo vituoni tunausubiri usafiri 28/10/2020 hawabadilichochote mambo yameisha haitorudi nyuma utakipigania chama baranjuna wewe
 
Wakati wanaendelea kuvurugana sisi tunawaza shughuli ya kumuapisha rais John Pombe Joseph Magufuli itafanyika Dar es salaam au dodoma😍😛
🤔🤔Tarehe28 lolote linaweza kutokea
 
Kyerwa mgombea wa ACT kakata steam kakimbilia Dar vile vile Kibamba hana chake.

Wameamua kuunga mkono.
 
Kyerwa mgombea wa ACT kakata steam kakimbilia Dar vile vile Kibamba hana chake.

Wameamua kuunga mkono.
Siasa ni sayansi🤣🤣🤣
Ila sasa kwa kuwa viongozi wao wameamua kufanya usanii was wameamua kuwa wasanii.com
 
Lissu ni kibaraka, Maalim Seif ni dikteta wa ukweli na Zitto ni ndumila kuwili na mropokaji.

Huyo Zitto aliwahi kusema sehemu moja huko Kigoma wamekufa zaidi ya watu 200 na alipotakiwa kuonyesha makaburi au mabaki ya wahanga akawa anazungusha tu macho...akahojiwa na vyombo vya habari vya nje kuhusu Corona na akasema hapa TZ hali ni mbaya na watu wanakufa ovyo..dah..Sasa hivi hata barakoa haijui...upinzani wa TZ ni watu wa hovyo kabisa...ni malaghai na matapeli wa kisiasa...hovyo kabisa...Leo anasema hiki na kesho wanasema kile...Ngoja tuwaadhibu kwenye sanduku la kura Hawa vibaraka na kuwazika kabisa kisiasa...
Ule usemi wa wahenga Binadamu kiumbe mzito nadhani walimlenga ZitoKabwe 🤣🤣🤣🤣
 
Wote Wahaya , ccm chama cha vilaza.
Ha ha ha Chama cha Mbowe cha hovyo sana. Hivi kule kwenye chama chenu mtu bright ni nani?. Maana kuanzia mwenyekiti mpaka shabiki ni utopolo mtupu.Chama kilicholaaniwa hicho.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom