ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,711
- 5,641
Jimbo la Mbeya Mjini ilifahamika toka awali kuwa litagawanywa kuwa majimbo mawili, ili kuhakikisha Mtu Fulani anashinda kati ya hayo majimbo mawili, kwasababu Sugu ana nguvu sana katika jiji la mbeya na anakubalika na vijana ambao wengi ndo wapiga kura, kama uchaguzi hautakuwa na uwizi basi jimbo la Mbeya ni La Sugu.
Kutokana na kufahamika kuwa jimbo litagawanywa basi vijana wengi wa mbeya waliomba mdude agombee jimbo moja na jingine agombee sugu, kwakuwa majimbo hayo ni kambi ya Chadema basi uhakika ni kuwa Mdude angeshinda jimbo moja , na sugu angeshinda jimbo jingine. "SASA MDUDE AMEPOTEA GHAFLA INAKUAJE HAPA"