Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

Lowassa alimlipa dogo diamondi milioni 100 kuwachezea wamasai ngololo,sasa masai na ngololo wapi na wapi.hizo hela si angeeda kujitibia ili kama kumchagua rais tujue ni mkataba siyo atuingize gharama za kurudia uchaguzi tena 2017
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Wakuu naona mnaendeleza siasa za kizushi mimi niko Lumumba sijakwenda Unguja wala Pemba na hao mnaowaita masalia ya chadema hakuna anaelipwa na Mwigulu posho wala mshahara acheni uzushi na siasa za maji taka.

Hahahahahah.... Inafurahisha sana..

Pale Salia linapokanusha kuhongwa likidai liko Dar na si Unguja!!!

Hivi wewe kwani mleta mada kamtaja salia yoyote toka Cdm? Wewe umejuaje kwamba Masilia hawapokei hela toka kwa Mwigulu? Unaunduguw wowote na Masalia wa Chadema au wewe ni mmoja wapo wa Salia la Chadema?

BACK TANGANYIKA
 
Naona wanalazimisha ufanano ww mtoa mada usifananishe hao wengine na lowasa....lowasa ni mchafu wa kutupa mwizi tena jambazi sugu na ndiye anayegawa hayo mahela akishirikiana na wenzake wakina chenge,Karamagi na rostam azizi....ccm walishamtanabaisha kwamba gamba na hasafishiki ht kwadodoki subirini adhabu yenu na kifo chenu pale Dodoma..
 
Kwa mfano Dada Juliana Shonza yuko nyumbani kwao Mbozi Mlowo na harakati zake za kuutaka Ubunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya.Acheni siasa nyepesi.

Hahahahahahahhahh...

Mtela Mwampamba asante kwa hii aisee

Yaani huyu bibi mikelele yote hapa ndani kuponda Chadema na Viongozi wake kumbe anavizia "Vitu Maalumu"..!!!! Aahaahaah Juliana Shonza pole sana kamdada, Hivi kumbe Vitu maalumu huwa vinakuwa na harakati namna hiyo? Sasa si kufika uchaguzi utakuwa umenyong'onyea sana kwa uchovu bibie? Leo hii ungekuwa Chadema jimbo hilo lingekuwa lako bila wasiwasi wowote tena bila kupitia Vitu maalum..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Mbona January makamba yupo na hili basi lake na gari limepaki 1434009529945.jpg
 
Kwa mfano Dada Juliana Shonza yuko nyumbani kwao Mbozi Mlowo na harakati zake za kuutaka Ubunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya.Acheni siasa nyepesi.
Yaani pamoja na mbwembwe zote zile Juliana anautaka Ubunge wa viti maalumu? kwanini asipambane huu wa kawaida
 
suzan lema acha urongo....EL hatoi hata ndururu kwa wanomdhamini.ni aidha unamdhamini au unaacha kumdhamini....Hao wengine siwasemei kwa kuwa mimi udhamini wangu ulikuwa kwa EL ila nadhani ukiandika hivi wataona unamfanyia kampeni EL...tulia na tusubiri vikao vya chama tunaamini EL atapita bila mizengwe....na tutaanza mchakamchaka wa maendeleo
suzan lema
 
Last edited by a moderator:
Naona Team Lowasa wanajitekenya kisha wanacheka Wenyewe.

lowasa mwanza alitoa kwa kila tawi la ccm milioni 2 wanaccm tugawiwe kila tawi.Lakini pesa zimeliwa na wachache sisi atukupewa.Watu walio karibu na lowasa wamwambia atuletee tena
 
haa haa ila lowasa umempunja sana mkuu. mbona huyu huwalipa wanaodhamini kiasi kikubwa cha pesa pia bodaboda wanaomshangilia hutumia pesa nyingi kuwalipa..
 
lowasa mwanza alitoa kwa kila tawi la ccm milioni 2 wanaccm tugawiwe kila tawi.Lakini pesa zimeliwa na wachache sisi atukupewa.Watu walio karibu na lowasa wamwambia atuletee tena

Kama kweli zilitolewa halafu wewe hukuambulia hata ndururu, inaonyeshwa u------ kwa kiasi gani. Halafu unakuja kujisifu uzoba humu! Kama umeweza kudhulumiwa mgao mpaka na wasukuma wachunga ng'ombe huko, je ukija Dar si watu watakukula ile kitu yenye utamu!
 
haa haa ila lowasa umempunja sana mkuu. mbona huyu huwalipa wanaodhamini kiasi kikubwa cha pesa pia bodaboda wanaomshangilia hutumia pesa nyingi kuwalipa..

Si mumkamate na ushahidi? Au Takukuru ilishafutwaga? Hizi tunaziitaga rongorongo. Tumewashtukia.
 
Kama kweli zilitolewa halafu wewe hukuambulia hata ndururu, inaonyeshwa u------ kwa kiasi gani. Halafu unakuja kujisifu uzoba humu! Kama umeweza kudhulumiwa mgao mpaka na wasukuma wachunga ng'ombe huko, je ukija Dar si watu watakukula ile kitu yenye utamu!

Hahahahahahaha....
 
kwa lowasa umedanganya, ila naona makongoro yuko reasonable. 50,000/- kwa wasaidizi wake ni posho ya kujikimu ya siku moja kwa afisa wa chini wa serikali hivyo si kubwa.

naona wewe ni timu lowasa maana hawezi toa 5,000/-
 
Upande wa lowasa anatoa 30000 mfano wa alipokuja tarime watu walio mdhamini walilipwa kiasi hicho
 
Mtoa mada ni TEAM LOWASSA.Anajaribu kutuonyesha kwamba fisadi Lowassa anatoa rushwa ndogo kuliko mafisadi wenzake na kwamba hatumii fedha nyingi kama wenzake. Kwa nini hakutaja private jet anayotumia na pesa wanazolipwa maelfu ya watu wa kumshangilia?

Mkuu uko makini sn ila wengu awajashutuka,amauonyesha fisadi kama ndo hatoi rushwa wakati ndo kinara wa kutoa rushwa nani hajui na kuwachafua wengine,TIME LOWASA MUNA PEPO NA POPE HILI LITAWATAFUNA NA FISADI WENU LOWASA, SHETANI MKUMBWA WEWE.
 
mkuu TIMU EL na LOWASA hawajielewi alienda kwenye uchaguzi wa ubunge arumeru akatoa hela ili ndugu yake ashinde watu wakala na wakamchagua Nasari,kazi yenu kuwachafua wenzenu,Rais ni tunda la mungu lkn kwa dhambi hii mnayofanya hata mungu apendi adhabu yake mtaiona.
 
Back
Top Bottom