Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

Mtoa mada ni TEAM LOWASSA.Anajaribu kutuonyesha kwamba fisadi Lowassa anatoa rushwa ndogo kuliko mafisadi wenzake na kwamba hatumii fedha nyingi kama wenzake. Kwa nini hakutaja private jet anayotumia na pesa wanazolipwa maelfu ya watu wa kumshangilia?

Mkuu uko makini sn ila wengu awajashutuka,amauonyesha fisadi kama ndo hatoi rushwa wakati ndo kinara wa kutoa rushwa nani hajui na kuwachafua wengine,TIME LOWASA MUNA PEPO NA POPE HILI LITAWATAFUNA NA FISADI WENU LOWASA, SHETANI MKUMBWA WEWE.
 
Suzan lema acha uongooo....

Makongoro hatoi posho kwa wanaomdhamini ..makongoro hata anapopita halipi waandishii..

Na January Makamba bado hajaanza kuzunguka ..

Jaman uongo haufai
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Yaani pamoja na mbwembwe zote zile Juliana anautaka Ubunge wa viti maalumu? kwanini asipambane huu wa kawaida
Juliana Shonza hana uwezo wa kuwania ubunge wa kuchaguliwa kwa CCM, sidhani kama ana pesa ya kutosha kutoa rushwa kununua wapiga kura, si unajua tena CCM bila kuwa na kisu maana bora ujikalie tu pembeni. Ila kwa viti maalum huko aweza kupata huenda mtaji wa kupata viti maalum anao.
 
suzan lema

tafadhali acha uongo! lengo lako hapa ni kutaka kuonesha kuwa lowassa hatoi pesa ila hao uluiowatanguliza ndiyo wanaotoa pesa. Unaonesha kuwa lowasa yeye anatembea tu na walinzi wake na kuwa anawapa pesa walinzi wake tu ila wengine wana toa pesa kibao kwa watu.

Wadau someni hiyo habari kwa makini.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: DSN
suzan lema acha uongooo....

Makongoro hatoi posho kwa wanaomdhamini ..makongoro hata anapopita halipi waandishii..

Na january makamba bado hajaanza kuzunguka ..

Jaman uongo haufai

majungu makongoro hatoi hata mia watu wanamkimbilia bule naye anawahoji kama ni wasafi kabla hajawakubalia kumdhamini
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Lowasa anatoa buku tano pamoja na kuwa na mahela mengi anatoa elfu tano basi akiwa Rais atakuwa anaiba na kula pamoja na familia yake tu wananchi tutaambulia mia tano
 
wakiwapa pesa chukueni..... lkn wengi ni mafisadi(walarushwa).

by Kitine.

Matokeo october/2015
 
Susan mbona januar ajaanza kuzunguka mbona acha uongo bhana
 
  • Thanks
Reactions: DSN
mkuu hiyo inaitwa takrima. kwa mujibu wa ccm inakubalika.

tafadhali acha uongo! lengo lako hapa ni kutaka kuonesha kuwa lowassa hatoi pesa ila hao uluiowatanguliza ndiyo wanaotoa pesa. Unaonesha kuwa lowasa yeye anatembea tu na walinzi wake na kuwa anawapa pesa walinzi wake tu ila wengine wana toa pesa kibao kwa watu.

Wadau someni hiyo habari kwa makini.

majungu makongoro hatoi hata mia watu wanamkimbilia bule naye anawahoji kama ni wasafi kabla hajawakubalia kumdhamini



Hivi Makongoro amechukua form kupitia CCM kama mwanachama au mtoto wa aliyekua mwanachama wa CCM ,mana namuona kama bado anaka- UNCCR mageuzi vile.?
Makongoro ataweza tu mana mkewe ndio atakua anaongoza nchi. Sio mbaya kama atapata mana nchi itakua inaongozwa na Judge.


Mleta mada yuko sahihi kabisa na wengi tulishaliona hilo la watangaza nia kutumia ushawishi wa fedha na rasilimali za umma na madaraka yao dhidi ya wengine.

Mawaziri wote wanatumia magari na madereva wanaolipwa kwa kodi ya wananchi. Hii sio sawa.Hawa mawaziri wana pesa lakini wanaogopa kuwa watakaposhindwa watakua wamepoteza.
 
Yaani Hata jina lake linaomyesha ni wa Arusha ila asili ni wa Kililimanjaro
 
  • Thanks
Reactions: DSN
[/I][/COLOR]hapo kwa LOWASA nina mashaka napo.............. shilingi elfu tano?
na ndege private anayotumia je?
Imetungwa kishamba kweli watu waluke kwa ndege waonge elfu tano na wala ndege hakuizungumziwa nilipoona juu membe kisha akafuata Makongoro kisha tishio akawa wa mwisho kwenye rank nikajua juu Scam...Akatunge nyingine HAIUZI.
 
Yaani Hata jina lake linaomyesha ni wa Arusha ila asili ni wa Kililimanjaro
 
Mmm kazi kweli kwa makongoro umemlisha dagaa na sio senese, hujapangilia uongo wako.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mnachafuan tu hamna kiu hapa
Wanajaribu kutengeneza Script ya kuchezea movie kubwa la maadui linakaa mwisho...ahaaa kweli very interesting basi ingeundwa karibu na ukweli..threats wa mtu basi wangechezeshwa kwa namna ambayo si lahisi mtu kugutuka...sasa eti Mwenye kuluka na ndege na chopa analipa elfu tano yani pure scam na kwenye kujenga hoja basi angekuwa anataka kuzungumzia matumizi NDEGE na CHOPA hazikupewa nafasi kisha eti script imetosha ilushwe..WAKAJIPANGE.

Wasubilie majibu watakutana nayo kwenye kamati ya maadili ...kule info zote zimejitulizia huko..hizi mbwembwe tu hapa...wakijaribu kujiridhisha na kuona nani anafahamu nini...na nani atapata puch line ya kuangukiwa na jumba bovu imenyopa!!!
 
kumsafisha lowasa ni kazi ngumu kweli ! bunge limeshindwa , kama unabisha muulize serukamba .
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Suzan lema acha uongooo....

Makongoro hatoi posho kwa wanaomdhamini ..makongoro hata anapopita halipi waandishii..

Na January Makamba bado hajaanza kuzunguka ..

Jaman uongo haufai
Ameandika script yake na mabosi wake wakafikilia itachezeka imekataa Waludi tena FIELD.
 
Lowasa anatoa buku tano pamoja na kuwa na mahela mengi anatoa elfu tano basi akiwa Rais atakuwa anaiba na kula pamoja na familia yake tu wananchi tutaambulia mia tano
Lowassa anatumia ndege za shirika gani vile na gharama za kukodi m-denge wote ule bei gani kwa saa au siku?

Kuna mtu anaweza kutufanyia mahesabu mepesi ya kujua tangu ameanza harakati zake hadi leo ametumia roughly kiasi gani cha fedha? Hii pia ingefanyika kwa watia nia wengine.
Asanteni.


Ndege hiyo ndege hiyo ...gharama yake tu...mmmh tishio
 
Back
Top Bottom