Wagner + Russia= Freedom

Wagner + Russia= Freedom

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Ndugu habari, sio mimi ndo naandika haya ila ni mabango ya raia wa Niger wakiwa wameyashikilia ambayo yanasema.

Wagner + Russia = freedom
Spotted poster in Niger

“Wagner + Russia = Uhuru”

One on the left says "Wagner is the cure against the West"

“Bango la kushoto linasema Wagner ni dawa dhidi ya Wamagharibi”

Hivi West wanajiskiaje huko waliko?? Maana Mapinduzi yanaungwa mkono na Raia.

West wamepoteza ushawishi kwa kasi sana, tulisema lakini wakati mgogoro wa Russia-Ukraine umeanza, Dunia haitabaki kama zamani.

IMG_2270.jpg
 
Back
Top Bottom