Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Na nawaomba " mniombee kwa Mungu"
Kama ungekua mwelewa nafikiri hizo kauli usingezitamkaUtoto ni metaphorical language hasa baada ya kuonekana kwako kushindwa kutambua siasa zinaendeshwajwe duniani, pata uelewa wa Machiavellianism kwanza na mengine utayafahamu taratibu
Pitia tena historia ya Nchi hii ndio hurudi tena hapaWambie ukweli. Mageuzi ya elimu alianza Rais Mkapa hiyo ilikuwa ni mpango wa muda mrefu. Ilikuwa si rahisi vyuo vikuu vijengwe 2001 pale serikali ilipoongeza udahili shule za msingi kwa kufuta ada.
Ni wazi kuwa ongezeko hilo lilihitaji ongezeko la sekondari, na vyuo.
u
Utadanganya wasiofatilia historia ya nchi na matukio yake.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanamchango katika matumizi ya rasilimali. Dhahabu, tanzanite, ges ilikuwapo tangu dahali lakini teknolojia yetu haikuwa wezeshi.
Pia kwa miaka mingi siasa ya dunia haikuwa imetulia kwa vita baridi hivyo uwekezaji kuwa mgumu. Pia utaifishaji mali 1967 uliathiri uwekezaji na hii ari ilikuwa ya watanzania wote.
Hivyo ni ujinga na usariti kulaumu watu fulani kuwa ndio wametukwamisha. Tutumie elimu yetu vizuri kwa kuinua ari ya Watanzania kufanya kazi na kukubari kuwa juhudi zao zinazaa matunda
OHHH! kukuambia ujiwezeshe ujue mitazamo ya falsafa mbalimbali za kisiasa toka karne nyingi zilizopita, falsafa ambazo ndizo zimejenga misingi ya siasa za leo, siasa ambazo unazilalamikia bila kufahamu mzizi na chimbuko lake ndio nimekuwa sio muelewa? ok, asante sana, endelea kulialia na kutaka kuonewa huruma mbele ya umma, siku ukija kufahamu kuwa watumika utatafuta maarifa ya kujikomboa, labda uniambie unafahamu ila tu kujifanya majununi ndio mfumo wa siasa uliochagua kuufanya. Kila la kheriKama ungekua mwelewa nafikiri hizo kauli usingezitamka
Maana wewe hutumikiOHHH! kukuambia ujiwezeshe ujue mitazamo ya falsafa mbalimbali za kisiasa toka karne nyingi zilizopita, falsafa ambazo ndizo zimejenga misingi ya siasa za leo, siasa ambazo unazilalamikia bila kufahamu mzizi na chimbuko lake ndio nimekuwa sio muelewa? ok, asante sana, endelea kulialia na kutaka kuonewa huruma mbele ya umma, siku ukija kufahamu kuwa watumika utatafuta maarifa ya kujikomboa, labda uniambie unafahamu ila tu kujifanya majununi ndio mfumo wa siasa uliochagua kuufanya. Kila la kheri
Pitia tena historia ya Nchi hii ndio hurudi tena hapa
Hiyo hoja uliyoleota hapa ni ipi?Huna hoja, unakimbia hoja kwa kutoa majibu mepesi, unapenda uongo kuliko ukweli, unapindisha hata yale yaliyo wazi duniani, sijui unafanya hivi kwa hasira au kumtumikia nani? World history ina impact kubwa kwa maendeleo ya Afrika, kutoka utumwa, ukoloni, vuta vya dunia, marshal plan, cold war, fall of soviet, failure in market ecoUshiriki wa Tanzania katika ukombozi barani Afrika ukazidisha chumvi katika kidonda, lakini pia watu wetu wasomi tuliowaamini toka enzi hizo wametusaliti,wametenda kinyume na mpango na dira nzuri tuliyokuwa nayo, wengine walikuwa wachunga mbuzi tu, walipopewa dhamana kubwa wakajitajirisha na kusahau walalahoi, watu hawa wapo, wapo wanaishi, wengine wanaheshima kubwa tu licha ya waliyoyafanya na bado wanadai wana uchungu na nchi hii. Wapo katika vyama vyote vikuu vya siasa vya nchi hii ndio maana mtu akija hapa akilia lia kwa mlengo na minajili ya chama chochote namuona lofa, lofa kweli kweli au angalau mchumia tumbo tu
Hiyo hoja uliyoleota hapa ni ipi?
Jibu hoja ukioja haukusaidiAcha kusema uongo kwa kutengeneza vimatukio ili uaminike kuwa mwanasiasa, fahamu dunia inavyokwenda na uwasaidie watukufahamu ukweli kwa kutumia kipaji chako ulichopewa na Mungu chakupenda kuwa celebrity and media icon. Kama unataka kuwa mwanasiasa basi ifahamu siasa kiundani na ufahamu yatokanayo na siasa na uache kulalamika, siasa zako za uongo nazo na za kutafuta huruma zinahitaji ufahamu wa propaganda wa hali ya juu na kumbukumbu ya hali ya juu.Hakuna anayezaliwa CHADEMA wala CCM, mtu anakuwa upande gani inategemea jinsi njaa yake inavyomtuma na urahisi wa yeye kupata mkate huo. Ningependa utumie kipaji chako kuwaelimisha watanzania wenzako kukataa kuvipigania vyama na badala yake wapiganie nchi yao dhidi ya vyama vya siasa, lakini kama umeamua kuwamchumia tumbo pia si mbaya kwa ni ukali wa njaa umetofautiana
Toka mwanzo wewe hujibu hoja nikafikirii hii style itakusaidia kuelewa, ukambiwa utafute maarifa, unajibu vioja nikajua unapenda viroja. Kama umeamua kushutumu wauaji washutumu hata wale walioua wakiwa CCM,mbona hao huwasemi? Shutumu wale walioua kwa kuogopa kunyanganywa uenyekiti wa chama. Muuaji ni muuaji tu, usitafute kick eti unataka kuuliwa, kuuliwa na kuuana ni sehemu ya siasa zenu, acha kupiga kelele. PeriodJibu hoja ukioja haukusaidi
Wewe unayejua siasa zetu kutuzidi sisi wenyewe tuambie basi maana unaitaji tukujue zaidiToka mwanzo wewe hujibu hoja nikafikirii hii style itakusaidia kuelewa, ukambiwa utafute maarifa, unajibu vioja nikajua unapenda viroja. Kama umeamua kushutumu wauaji washutumu hata wale walioua wakiwa CCM,mbona hao huwasemi? Shutumu wale walioua kwa kuogopa kunyanganywa uenyekiti wa chama. Muuaji ni muuaji tu, usitafute kick eti unataka kuuliwa, kuuliwa na kuuana ni sehemu ya siasa zenu, acha kupiga kelele. Period
Wewe unayejua siasa zetu kutuzidi sisi wenyewe tuambie basi maana unaitaji tukujue zaidi
Naona umeingia kwenye ile falsafa kuu ya mwisho kabisa hapo lumumba ambayo ni MatusiUkijifahamu wewe mwenyewe utafahamu madhaifu yako, utaufahamu ukweli na utaweza kujikomboa katika utumwa wa kifikra, na utafahamu lipi la kutenda lipi la kuacha kwani utafahamu pia hao unaoshirikiana nao na pengine kuwaamini sana ni watu wa namna gani. Nakusihi upitie historia na mawazo ya wanafalsafa wa siasa kama akina Jean Jackie Rouseau, Niccolo Machiavelli na wengineo ya kaliba yao upate maarifa kwa nini siasa za Tanzania na Duniani kiujumla leo hii ziko hivi. Kick niliyokupa katika uzi wako basi angalau iwe chachu ya wewe kutafuta maarifa, pamoja tunaweza kulisaidia taifa letu badala ya kutaka na kutamani maisha tunayodhani marahisi ya kuwa wanasiasa ili tupige 'deal' kuwadhulumu dada, kaka, wapwa, shangazi, wajomba, bibi na mababu zetu huku tukiona fahari kubadilisha magari wakati watoto wa dada zetu wakifa kwa maradhi yanayotibika kwa vile tuhospitali zimekosa madawa. By the way wengine wanakatwa vichwakwakuchukua wake za watu, jihadhari na tabia hiyo ndugu yangu, usije kuwa umeiba mke wa mtu mwenyewe anataka kuku deal ukasingizia siasa
Naona umeingia kwenye ile falsafa kuu ya mwisho kabisa hapo lumumba ambayo ni Matusi
HICHI KINACHOJADILIWA HAPA NIHATARI SANA UNAOWADEMA WEWE WEKA USHAHIDI KAMA HUU HAPA
Kabisa na nihatari sanaSiasa za kipuuzi Sana! Nashangaa zinapandikizwa kwa vijana kabisa!