W wikolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 800 Reaction score 271 Jan 10, 2013 #1 Wageni wengine ni noma sana, hebu angalia hapa: Mwenyeji: Karibu mgeni! Sijui utatumia nini, soda au chai? Mgeni: Nitakunywa soda wakati nasubiria chai ichemke!
Wageni wengine ni noma sana, hebu angalia hapa: Mwenyeji: Karibu mgeni! Sijui utatumia nini, soda au chai? Mgeni: Nitakunywa soda wakati nasubiria chai ichemke!
Iamjac16 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 214 Reaction score 53 Jan 10, 2013 #2 Ha Karibu Chakula Huku Moyoni Unaomba Akatae
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jan 10, 2013 #3 wikolo said: Wageni wengine ni noma sana, hebu angalia hapa: Mwenyeji: Karibu mgeni! Sijui utatumia nini, soda au chai? Mgeni: Nitakunywa soda wakati nasubiria chai ichemke! Click to expand... Ana kiherehere tu kwani aliambiwa chai ipo jikoni?!!!
wikolo said: Wageni wengine ni noma sana, hebu angalia hapa: Mwenyeji: Karibu mgeni! Sijui utatumia nini, soda au chai? Mgeni: Nitakunywa soda wakati nasubiria chai ichemke! Click to expand... Ana kiherehere tu kwani aliambiwa chai ipo jikoni?!!!
W wikolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 800 Reaction score 271 Jan 10, 2013 Thread starter #4 JACKSON WAMBURA said: Ha Karibu Chakula Huku Moyoni Unaomba Akatae Click to expand... Ha! Ha! Ha! Lakini mkuu kama umepewa kufanya uchaguzi kati ya viwili, kwa nini sasa uhitaji vyote?
JACKSON WAMBURA said: Ha Karibu Chakula Huku Moyoni Unaomba Akatae Click to expand... Ha! Ha! Ha! Lakini mkuu kama umepewa kufanya uchaguzi kati ya viwili, kwa nini sasa uhitaji vyote?
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jan 12, 2013 #5 Karibu kama huna huruma
P pretty n JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 298 Reaction score 72 Jan 12, 2013 #6 Kula km jasho la mtu laliwa yakhe! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 Jan 12, 2013 #7 Kiherehere cha kumuuliza kwani mgeni lazima apewe kinywaji? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kiherehere cha kumuuliza kwani mgeni lazima apewe kinywaji? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
K KBrooks Member Joined Jun 8, 2012 Posts 22 Reaction score 6 Jan 13, 2013 #8 unamchania.."chai ipo tayari"
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,062 Jan 16, 2013 #9 Tanga huambiwi 'karibu tule' utaambiwa 'pita twala' au 'karibu twala' kwa mchina utakaribishwa chai ya moto chungu isiyo na sukari
Tanga huambiwi 'karibu tule' utaambiwa 'pita twala' au 'karibu twala' kwa mchina utakaribishwa chai ya moto chungu isiyo na sukari