Pole sana Mkuu. Mtoto wa shemeji yangu kaja kukaa kwangu ili asome. Eti naye akajifanya "mwenye nyumba". Hanisalimii asubuhi wala mchana wala jioni. Siku moja anarudi toka shule alikuta vitu vyake vipo barabarani. Akapitilizia huko huko. Ila wewe wavumilie tu.