nimekuuliza dau ni mwizi ama la? hiyo production cost umeitoa wapi? au nssf hapawezi ibika?Mkuu nssf hata wewe ungeweza management maana hakuna production cost pale ni kucollect pesa tuu toka kwa waajiri na ku invest basi.

nimekuuliza dau ni mwizi ama la? hiyo production cost umeitoa wapi? au nssf hapawezi ibika?
nimekuuliza dau ni mwizi ama la? hiyo production cost umeitoa wapi? au nssf hapawezi ibika?
Kuna meli wao wanaita utafiti moja ina crew 800 na ina almost kila kitu humo hospitali mpk na facility nyingine. Ajabu hakuna Mtanzania hata mmoja humo na wanabadilishwa kila mwezi hiyo meli inaitwa Discoverer Americas. Ipo chini ya Kampuni ya Statoil ina supporting vessels nyingine ndogo kwa aajili ya kuleta mahitaji ndio zinaenda pwani hasa Mtwara na kurudi huko sea. Pia inameli zingine 3 za kuilinda hilo kubwa linalochimba ajabu katika hizo ndogo ndio kuna walinzi wa kibongo tena wa mwisho. Hata wanajeshi wapo kwenye hizo meli za ulinzi lkn wanapangiwa wazungu na kutumwa kama watoto ni aibu kwa kweli. Crew wengine ni Wasouth Africa na Wakenya na Warusi. Walinzi ni Waingereza na wanamaji wachache wa Tz. Lkn nao hawaruhusiwi kupiga picha au kulisogelea meli hilo. Je tutafika?
nimekuuliza dau ni mwizi ama la? hiyo production cost umeitoa wapi? au nssf hapawezi ibika?