thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Wageni wa siku hizi hawana hata makuu...mgeni wa siku hizi akija haulizi chai wala soda, mgeni wa siku hizi akifika cha kwanza kabisa utamsikia ETI UNA CHAJA YA PINI NDOGO
wageni tumeshastuka wenyeji wana roho mbaya na wachoyo ya nini kuomba chai,unajiombea chaji yako na huyo unasepa kimtindo.
Nalog off
mambo ya kizamani hayo,sasa simu yangu haina chaji nitawasiliana nawe kwa kutumia nini,we nigee chaji ya pini ndogo mie niende zangu lol.si unajua mawasiliano kwanza vingine baadae