Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Oct 8, 2011 #1 [MGANGA WA KIENYEJI];Kwa dalili unazoonesha,nahisi una malaria hivyo nakushauri ukanywe fansidar. [MGONJWA];Kwenda zako huko,we tapeli nini,mganga wa kienyeji na Fansidar wapi na wapi?,we niambie kaniroga nani?
[MGANGA WA KIENYEJI];Kwa dalili unazoonesha,nahisi una malaria hivyo nakushauri ukanywe fansidar. [MGONJWA];Kwenda zako huko,we tapeli nini,mganga wa kienyeji na Fansidar wapi na wapi?,we niambie kaniroga nani?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Oct 8, 2011 #2 Wagonjwa wengine bwana!