Lowassa anaangika anatapatapa..mwisho wa siku atakatwa jina
kwa taarifa toka mdau aliyepo dom leo, inasemekana waganga wa jadi, wale waua albino wamejaa dodoma. kwa style hii kweli ndugu zetu albino wataacha kuuawa kweli? Mungu iokoe Tanzania. nchi ikiongozwa na wachawi, usalama wetu uko wapi?
Kingunge ambaye ni mlezi wa waganga wa jadi kaamrisha watoke kila mkoa kumsaidia Lowasahao waganga wapo kwa ajili ya lowassa ndo rais wao
Dadako naye kakatwa?