Waganda ni Nouma aisee.....!

hii shida ipo hadi chini chini upande wa tanzania........wahaya wengi mikono ya sweta
 
hii inabidi ifanyike na bongo_kaata vigozi vya watu ha ha ha ha
 
natamani kuona inafananaje hiyo makitu ya mkono wa sweta, cjawahi ona, lol! it must b funny, khaaaaaa!
 
Mtambuzi hii kali kabisa alafu akipita kademu chenye mvuto kazi ipo akisimama tu yeye ni kilio
 
Last edited by a moderator:
loh....
sina cha kusema....
ila mke wa babu ataanza kuinjoi kushika maiki sasa...
 
Duh haya haya kwa wanaume wa "NZEGA" kaeni chonjo........hahahahahahahahaaa..
 
Yaani mtambuzi wee Nouma, anyway sisi kwetu wanatolewa mapemaaaaaaaaa, under ten to twelve years
 
naona mzee kapata ubatizo karudi kuwa kijana...watamkomaje mitaa ya Kawempe, Nakivubo, Butabika, Nakasero, Kiruddu
 
akishapona hapo atakuwa bonge la kidume, kifua mbele, ataoga mtoni kweupeeee bila woga. wamama watamkomaje???!!!!
 

Kwa kweli wamemdhalilisha sana tu! Hawana ustaarabu hata chembe. Poor man.
 
Kicheko ! hapo jamaa anagugumia kwa maumivu' lakini mwisho wa siku ataona manufaa yake na atajilaumu kwanini alichelewa kuingia katika ''huo uliwengu'' mpya.Manake sasa 'less energy full pleasure!'

No, you are quite wrong!! Circumcision = less pleasure!
 
A man is forcibly circumcised in Mbale, Uganda (wenyewe huita Embalu)


Nafikiri watoa huduma walizingatia all the precautions - maanake kuna magonjwa kama ukimwi yanayosambaa kuptia damu na recently inasemwa hata saliva!!
 
Walimchelewesha sana, inaonekana alikuwa mtaalamu wa chenga, lakini mbio za sakafuni.......................
 


Gwe baasaze embalu ku mpaka nga takyategeera olw’obulumi


Ngoma bado mbichi mkuu...................!

maskini babu wa watu anaona nyota tuu lol
mie huku hadi mwili unasisimka kwa kuona hicho kidonda looh
mfikishie pole zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…