Huu ndio ukweliKuna mahali nilisoma wanasema wamekichukia Kiswahili kwa sababu ya Idi Amini na maaskari wake kipindi anatawala Uganda.
Sasa hiyo ni enzi zile ,kizaz cha sasa hakikuwepo enzi za idd Amin.Ni maamuzi ya serikali yao kukomalia kiswahili mbona kagame amebadilisha toka France to English as official language! Utawala Wa idd Amin haina mashiko kwa sasaKuna mahali nilisoma wanasema wamekichukia Kiswahili kwa sababu ya Idi Amini na maaskari wake kipindi anatawala Uganda.
It [Kiswahili] was born in Tanzania, grew up in Mombasa- Kenya, got sick in Uganda and it died in Congo!Nimejikuta nikijiuliza kwa nini waganda amekuwa wagumu sana kukikubali kiswahili? Ningetegemea wawe mbele zaidi hasa ukizingatia wamekuwemo Kwenye uanzilishi wa jumuia yetu na Vilevile kiswahili sio lugha ambayo Kabila moja linaweza likadai kuwa ni lugha yake peke yake.
Je, ni kwa sababu ya kasumba ya kuamini kuwa lugha ya waliokuwa watawala waingereza ndio bora? Je, ni kwa kuwa wanajiona wao ni Taifa kubwa kwa vile walikuwa na watawala wakubwa toka enzi yaani Kambaka Kingdom kwa hiyo wangependa wote tuzungumze kiganda?
Je, Kenya imekikubali kiswahili kirahisi zaidi kwa sababu kinazungumzwa sana mombasa? Nashangaa nchi kama Kongo na Rwanda kuonekana kukikubali kiswahili zaidi kuliko waganda,inaweza kuwa sababu gani?
Wajuzi tujuzeni.
Karibuni.
Ni kweli kipindi cha IDDI amin askari wake walitumia kiswahili kuamrisha na kushurutisha RAIAKuna mahali nilisoma wanasema wamekichukia Kiswahili kwa sababu ya Idi Amini na maaskari wake kipindi anatawala Uganda.
Lakini Bado kifaraca ndo ruga inayotumika maoficini. Serikari kutoa armi haimainiashi kuwa ndo mwisho mwa lugha kutumiwaSasa hiyo ni enzi zile ,kizaz cha sasa hakikuwepo enzi za idd Amin.Ni maamuzi ya serikali yao kukomalia kiswahili mbona kagame amebadilisha toka France to English as official language! Utawala Wa idd Amin haina mashiko kwa sasa
Na wewe nawe waonekana hujui chochote kuhusu machief( Kabaaka)/ (waganda)Wanaokataa Kiswahili ni Wabaganda ambao ndio haohao wanataka lugha yao na serikali yao ya Kichifu ipate mamlaka zaidi! kitu ambacho Waganda wengine hawakitaki!
Niliongea na waganda wachache, waliniambia pamoja na yote, wanajeshi wa Amin walitumia Kiswahili na kukifanya kuhusishwe na watu wenye elimu ndogo au wasio na elimu. Wanadharau Kiswahili ndiyo maana hawapendi kujifunza. Wanaume wa kiganda wanaamini wanawake wa Kiswahili ni wazuri wa kupika na kitandani lakini hawatakushauri maswala ya maendeleo.Wanganda wengi wanaamini kuwa kiswahili ni lugha ya wezi na majambazi.ndo maana wengi wao hawakipendi, na wanaotumia kiswahili uganda wengi wao ni sector ya polisi na wanajeshi wanatumia ata wakiwa kazini ....ile kauli ya " leta pesa" kutoka kwa majambazi hiyo ndio inawachanganya sana.