Waganda kuunda ndege

Waganda kuunda ndege

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Baada ya waganda kuunda gari la Kiira EV sasa wanasayansi hao wamepania kutengeneza ndege yao wenyewe, ya kwanza kwa mwafrika
 
Attachments

  • 1430654425794.jpg
    1430654425794.jpg
    42.3 KB · Views: 691
  • 1430654715046.jpg
    1430654715046.jpg
    30.2 KB · Views: 460
  • 1430654733074.jpg
    1430654733074.jpg
    19.6 KB · Views: 460
  • 1430654751084.jpg
    1430654751084.jpg
    15.5 KB · Views: 448
Watanzania tukiwa Makini wakati wa kupiga Kura na kudhibiti wizi tunaweza kufanya zaidi ya Waganda.
 
Sisi tujipange kwanza kutengeneza sindano kwanza

Sindano yote hiyo, sema kijiti cha kuchokonolea meno..

Wenzetu wanatafuta vipaji na kuviendeleza kwa watu wenye vipaji.

Hapa kwetu ukitengeneza tu gobole ndani ukaisaidie polisi.
 
Uganda wanaye na wanaongozwa na RAIS Watanzania wanaye na wanaongozwa na RAHISI.

Yeye ni Rahisi hata kwenye Escrow iliyoua shilingi yetu.
 
Sindano yote hiyo, sema kijiti cha kuchokonolea meno..

Wenzetu wanatafuta vipaji na kuviendeleza kwa watu wenye vipaji.

Hapa kwetu ukitengeneza tu gobole ndani ukaisaidie polisi.

Budget yetu ipo kimagumashi sana
 
Baada ya waganda kuunda gari la Kiira EV sasa wanasayansi hao wamepania kutengeneza ndege yao wenyewe, ya kwanza kwa mwafrika

Maandishi bold si kweli, kuna kampuni south africa inatengeneza ndege zinaitwa "sling", zipo sokoni siku nyingi tu. Ila hawa wanafunzi wa uganda nao ni wa kupongeza.
 
Maandishi bold si kweli, kuna kampuni south africa inatengeneza ndege zinaitwa "sling", zipo sokoni siku nyingi tu. Ila hawa wanafunzi wa uganda nao ni wa kupongeza.

Ukishasema South Africa, huyo ni mzungu, asilimia 87 ya uchumi wa Africa kusini unamilikiwa na wazungu, 13 wanajipaka weusi na wageni
 
Ni ndege za aina gani hizo?

Mmoja nimeona kama ni DRONE vile! Drones ni rahisi kuhundwa - lakini hili la kuhunda fixed wing ndege ya kubeba habiria hapo jamaa watawapa wakati ngumu.
 
Back
Top Bottom