Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Hii taarifa sijajua kamishna kama anakusudia kuwatisha wahusika au ndo yuko serious na majina anayo kwa ajili ya uchunguzi....!
Lakini je, angeendelea na uchunguzi bila kukutana na vyombo vya habari angepungukiwa nini..? Kwa sababu ni anawa alert wahusika ili wakae mbali na aina yoyote ya ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi niliyaona hapa kwenye site ya Father John www.tanzaniablog.org